Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Wewe ni mkataa kwenu.eti umekuja kuomba ushauri.hebu nihamie kwingine.
Kila la kheri kaka.Tekeleza mila kaka.Bahati nzuri umeoa mke ambaye haujui haki zake.
marehemu kaka yako alipima???????swali lingine...hivi huko kwenu tarehe mnazotumia zimeshafika ANGALAU 1900?swali la mwisho tafadhali......unaishi misitu ya kongo au tanzania hii hii?
Mimi sina hayo mawazo bali mila na desturi zinanibana na wanaukoo wataniona msaliti na nitatengwaMkuu kwa dunia ya leo bado una haya mawazo jaman!
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita
eti umekuja kuomba ushauri.hebu nihamie kwingine.
Kila la kheri kaka.Tekeleza mila kaka.Bahati nzuri umeoa mke ambaye haujui haki zake.[/QUOTE]
Kuna watu tunao karne hii lakini ilibidi waishi enzi za kurithiana wake.... yaani mtu anajieleza eti 'mke wangu analeta kauzibe'. Hawa nahisi walikuwa wangegedana hata kabla kaka yake hajafa.... ila kwa sasa anatafuta namna ya kuiweka iwe 'official' tu..
Basi isiwe nongwa tutapima huo ukimwi ili yaishekwani aliyekufa kwa ajali hawezi kuwa alikuwa nao kabla we una hakika gani na afya yake? Mila nyingine inabidi zifutwe tu hali ya sasa au we mwenzetu unaishi nchi gani, mana nashangaa eti mpaka leo hii bado hizo mila na desturi........tafakari na chukua hatua!!!!!! Achana na mambo ya kizamani
Naomba ujifunze h=kuheshimi mila za wenzako mkuu. Mimi sijaja hapa kuomba kutukanwa bali kuomba ushauri namna ya kumsihi mke wangu arudishe moyo wake nyuma ili tulee watotoeti umekuja kuomba ushauri.hebu nihamie kwingine.
Kila la kheri kaka.Tekeleza mila kaka.Bahati nzuri umeoa mke ambaye haujui haki zake.[/QUOTE]
Kuna watu tunao karne hii lakini ilibidi waishi enzi za kurithiana wake.... yaani mtu anajieleza eti 'mke wangu analeta kauzibe'. Hawa nahisi walikuwa wangegedana hata kabla kaka yake hajafa.... ila kwa sasa anatafuta namna ya kuiweka iwe 'official' tu..
Hakuna tusi hapo kaka, ila unapewa LIVE tu... Kama vipi niwekee matusi niliyokutukana hapa... Kuhusu kuheshimu mila kuna ambazo hata ufanyeje siwezi, kwa mfano kukeketa, kurithi mke/mume.... Hayo siwezi kuyaunga mkono kisa 'h=kuheshimu mila za wengine'... BIG NOOONaomba ujifunze h=kuheshimi mila za wenzako mkuu. Mimi sijaja hapa kuomba kutukanwa bali kuomba ushauri namna ya kumsihi mke wangu arudishe moyo wake nyuma ili tulee watoto
Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita
Vipi ukikutwa nao au akikutwa nao, utaendeleza kuheshimu hizo mila?Basi isiwe nongwa tutapima huo ukimwi ili yaishe
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Ngoja nikupe mbinu sasa; Ukishazima computer yako, nenda ukampigie magoti, halafu uanze kulia kama umepata msiba mwingine, wakati anakubembeleza jaribu kumsihi kwamba unahisi siku zako za kuishi zimebaki kidogo, hivyo muombe arudishe moyo wake nyuma ili aje mlee watoto, Basi hapo kwa huruma atakubali kuendelea kuishi na mumewe " Haambiliki TegelezeniNaomba ujifunze h=kuheshimi mila za wenzako mkuu. Mimi sijaja hapa kuomba kutukanwa bali kuomba ushauri namna ya kumsihi mke wangu arudishe moyo wake nyuma ili tulee watoto
Yaani anakuja kuomba ushauri wakati tayari ana majibu ya anachoulizia na ana msimamo wa kutobadirika...Ngoja nikupe mbinu sasa; Ukishazima computer yako, nenda ukampigie magoti, halafu kama umepata msiba mwingine, wakati nakubembeleza jaribu kumsihi kwamba unahisi siku zako za kuishi zimebaki kidogo, hivyo muombe arudishe moyo wake nyuma ili mlee watoto, nasi hapo kwa huruma atakubali kuendelea kuishi na mumewe " Haambiliki Tegelezeni