Atakuwa kaambiwa alivyotoka ulikuwa unachepukaanaleta dharau tu...
Atakuwa kaambiwa alivyotoka ulikuwa unachepukaanaleta dharau tu...
Mtwange talaka mkuu. Acha kulea nyani utavuna mabua. Mpe uhuru akakae kwao ili awe ananuna vizuri au awe na furaha maana inaonekana ww ndio unamnyima amani. Mtwange talaka mkuu.
Kama hayo yanatosha kuacha mke basi utaacha kila siku!
Akiacha hili huku anakutana na jingine huko
mbona wewe kama mjanjamjanja sana?? embu kamfungukie kama ulivyotufungukia sisi, haipendezi kidume kunung'unika pembeni.
Hapo wewe usisumbuke tafuta nyumba ndogo(mchepuko) ,Ngoma itakua draw
Kama hayo yanatosha kuacha mke basi utaacha kila siku!
Hapo wewe usisumbuke tafuta nyumba ndogo(mchepuko) ,Ngoma itakua draw
Kabadilika nini?? Hebu funguka mkuu!!
Atakuwa kaambiwa alivyotoka ulikuwa unachepuka
Umeshamuuliza kwanini kabadilika? Na kama ulishamuuliza majibu yake yalikuaje?Jaribu kumaliza tofauti zenu wenyewe kwanza umu jukwaani kuwe hatia ya mwisho( kama yameshindikana).
yupo tofauti na mwanzo kabisa....yuko totally different kabla ya kuondoka maisha yalikua ya amani,Alikua hana kiburi wala dharau....tangia arudi hajawahi kupika hata cku moja ukimuuliza Vp full mxiuuu halafu unamuachia pesa ya kutosha tu,Yaani Majanga,sasa hivi kila cku milo mitatu yote hotelini,wala Sina raha ya mke tenaaaaa,hata salam imeyeyuka hakusalimii,ukimsalimia anapoteza,game anapoteza...na mengine kibaoooo....