mjanjamjanja
Member
- Feb 11, 2014
- 32
- 2
- Thread starter
- #41
then UKISHAMPIGA KIBUTI???
sasa hana faida yoyote,ndoa gani mnanuniana,hamuongei kabisa,hata ukikaa nae chini anachomoa.
Je ungefanyiwa ww ungefanyaje?
then UKISHAMPIGA KIBUTI???
That's too bad,mpka unaamua kula hotel bila kutaka kujua mwenzio kabadilika kwa sababu zipi?Sasa wewe ndo unakiburi kilichokithiri.
Umeonaa eeeh? jamani wanaume wengine mkoje? mnaaibisha jinsia zenu,nachukia kweli mwanaume asiyejua kusimamia wajibu wake, eti wewe mkabasia umeacha hela nyumbani unarudi hakuna chakula wala hupewi sababu yoyotwe ya kwanini chakula hamna,hivi utakaa kimya kweli?
hamna lingine hapo....huko kwao kakutana na jamaa aliyemzindua aka aliyembikili!!! huna chako hapo man!!!
Umeonaa eeeh? jamani wanaume wengine mkoje? mnaaibisha jinsia zenu,nachukia kweli mwanaume asiyejua kusimamia wajibu wake, eti wewe mkabasia umeacha hela nyumbani unarudi hakuna chakula wala hupewi sababu yoyotwe ya kwanini chakula hamna,hivi utakaa kimya kweli?
mmmmmhh!! Siyo vizuri ujue!!
Duu yani ndio ushauri gani huo!? Jamani?
sasa ukimuuliza Vp mbona kweupe,mara hajibu,mara kachoka,nmemwambia mpaka basi..nmeongea na ndugu zake nao hawanielewi....huyu anakitu anaficha nyuma ya pazia.......Sasa hapa nnachofikiria ni kibuti.... kama spare tyre Sina..,pesa nampa naambulia mxiuuu,kumpiga Siwezi because Sina moyo huo.
Mtwange talaka mkuu. Acha kulea nyani utavuna mabua. Mpe uhuru akakae kwao ili awe ananuna vizuri au awe na furaha maana inaonekana ww ndio unamnyima amani. Mtwange talaka mkuu.
Hapo wewe usisumbuke tafuta nyumba ndogo(mchepuko) ,Ngoma itakua draw
wife wangu akiwa anaenda kwao ntakuwa namfunga kifaa cha kumtrace!!! na akikitoa tu mwilini ndoa inaishia hapo!!! no excuse!!!!
Kaa nae umwambie ya moyoni muone tatizo ni nini maana talaka si solution na ukizingatia tayari mna mtoto
hehhehe kama pace maker au
Dawa ya moto ni moto