Ndugu,hapo kuna walakini,na huu walakini ni dhahiri kwamba kuna jambo amezungumza na ndugu zake huko kwao,aweza kuwa mama au ndugu wa karibu amejadili nao kuhusu ndoa na akapewa aina ya ushauri ambao si sahihi,sasa cha kufanya,ongea na mkeo kwa kirefu sana,tena zungumza nae kwa upole na kwa busara,tafuta muda muafaka nenda nae mbali na nyumbani,nina uhakika atakueleza,na ukishajua tatizo nadhani utaweza kudanya maamuzi yaliyo bora
All the best
Umewahi kuongea nae?
Habari zenu ndugu wa mmu,
Ni hivi nmebahatika kuoa na kupata babyboy moja.Nmedumu kwenye ndoa miaka 3 na mke wangu.
Nmeishi na mke wangu kwa upendo na furaha.Miezi mitatu iliyopita mke wangu alienda Kwao Mwanza,maana tangia nimuoe hajafika huko.Sasa alivyorudi amebadilika kila kitu kuanzisha furaha,upendo,hanijali tena Yaani amebadilika kabisa sio yule mke wangu wa Kwanza.mi mpaka na hisi Kwao huko wamemfanyia kitu......
Hebu ushaurini nifanye nini maana akili yangu sasa inawaza kumpiga kibuti tu.....talaka