Mke wangu kabadilika kimuonekano

Ninakiri kuona wanawake wengi sana wakipoteza uzuri wao kwa ajili ya kunenepa,inaanzia usoni mpaka mwili mzima na huwa ni vigumu wao kuamini kuwa wanaharibika kwani kuna dhana ya kuwa mwanamke mzuri ni aliejazia,na hii ndio hasa inawafanya wafikie hapo walipo.
 
Nisivyopenda wanawake wanene kupitiliza sijui nikioa itakuaje
 
eti tumbo kumbwa kuliko makalio...

inauma sana mke wako ana kitambi alafu baba mwenye nyumba na kimbaombao

Pole mkuu amekuwa na irregular shape? Mpe mazoezi ya tumbo unene haukubaliki na atakuwa mzito na mvivu
 
Kwa hali ya kawaida ya maisha yetu ya kutoka kazini saa 11 na kufika nyumbani saa 4 usiku na asubuhi kuamka saa11 alfajiri,kwa hilo swala la orgasms 2 mpaka 3 au 4 kazi itamshinda.
 
Nipe mm huyo kwani hizo shepu ndio huwa nachanganyikiwa nazo sana
 
Unavyolalama as if wewe toka umeoa hujagain weight... ukute ulioa na 65 sasa hv una 130 hlf kelele nyingi.. ongea na mkeo mwambie ubaya wa kuwa na uzito mkubwa... fanyeni wote mazoezi

hlf ukute pia wewe ndo chanzo unamstress kwa mitabia yako kama hii ya manyanyaso... basi anakula tuu ... acha hizo
 
Ndo matatizo ya kupenda maumbile hayo....tangu mwanzo ulivutiwa nae na hukumpenda nafsi yake..mimi binafsi mke wangu alibadilikaga kitambo na sijawahi kumchukia eti kisa amechange....namkubali sana na hata huwa nikichepuka huwa ni tamaa zangu tu na sio kuwa simpendi....nakushauri umwambie aende kwa mganga akapewe limbwata umpende yeye tu..zaidi ya hapo hakuna ujanja.
 
Well said Kujiachia kunenepea ni kutokujijali... Sasa kama unashindwa kuji take care mwenyewe kujipenda mume anaanzaje [emoji57]....


Umeona enheee, kina dada yabidi kujipanga upya. Mtu atakuambia yuko kwenye diet sasa jaribu kumpa offer ujute. Atakula kwa fujo ili kulipizia njaa aliyoshinda nayo. Mtu unabaki kujiuliza, where is the diet hapa na ukimwangalia mtumbo huo kama kabeba mimba ya miezi 9.
 
Juu ya kufanya mazoezi pia awe anakunywa maji yaliyochanganywa na limao au ndimu kila anaposikia kiu.Limao na ndimu si rafiki kwa mwenye vidonda vya tumbo.
 
Mm sidhani km Mume aliyempenda mkewe anaweza akawa na mawazo ya kutompenda kwa kubadilika muonekano,hayo ni mapungufu yako kimawazo.Na umetia aibu kwa uzi huu.
 
kwa hiyo unataka kumuacha au???
 

I don't think I am judgemental, I was just giving advises to the dude. It's true what you said about some people being depressed and lose interest on how they look, however, there are people who just don't care about anything no matter what you tell them. By the way, I would love to kiss you on the chick as a friend.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…