chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Wadau naamini mko poa,
Tangu uchumba, ndoa na hadi sasa ni miaka kadhaa na watoto juu, mke wangu hajawai kuniomba unyumba kwa maneno, huwa ananitega na kujilengesha kiasi kwamba mi ndo inabidi nitambue kuwa waifu ananihitaji.
Yani anaweza kunivalia kimtego flani hii, au kukaa hivi au vile ili mradi tu kutengeneza mazingira ya mimi kutambua ananihitaji hivi wanamme wenzangu wenye wake huwa nanyi pia mnakutana na hali hii?
Je, ni kawaida bila mwenza wako kukuomba kwa maneno?