akilindefu
Member
- Sep 5, 2020
- 69
- 67
Nko naish kwangu na Nina kaz yangu nafanya shida mzee analaumu kwamba binti anatoka kwenye ukoo wa kichawi
- Kosa la kwanza,unaoa halafu bado unaishi kwenu; ushauri,jitegemee kwanza ndio uoe
- Pili, hudhuria mafunzo ya ndoa,yatakujenga kuhusu maisha yako- kwenye ndoa,mkeo ni mkubwa kuliko wazazi wako
Watu ambao bado pesa inasumbua huwa hawafikirii kama kuna maisha mengine, kila jambo ushauri wake "tafuta pesa"......kwani kasema hana pesa???tafuta pesa mkuu.
Kosa la binti lipo hapo...Yule binti akaenda kwetu kusalimia wakati huo Mimi sikuepo nyumbani yule binti alipofika pale akagoma kurudi kwao akidai anahitaj kuolewa na mm akawa anatishia kujiua bas badae nikaanza kukaa nae nae
Alokwambia kuchelewa kuoa ni udhaifu ni nani??Vijana wadogo wa Dar
Watakuja kukuambia " Dogoooo miaka 20 unaoa"
Usiwazingatie sanaaa maana vijana wa Dar, wavivu ,wadhaifu, wanaogopa majukumu. Wenyewe unakuta mpaka anamiaka 35+ hajaoa .
Ushauri wangu !!!.
Wewe msikilize Mama , mzeee asikuchanganye ( wazee wengine ulafi sana , unakuta hapo aliwah kamendea mendea basi anatia ugumu ).
MUOE, MTAZAAA NA MUNGU ATAWABARIKI.