tunapendana sana ila mkee wa jamaa hajiamini tena ni mchoyo anazani mjamzito atamaliza chakula. Tena baada ya kujifungu atamlisha ugari na makande mpaka akome so wajiongeze.
Unaposema mkeo hapendi wageni unatumia kigezo hicho cha kukataa mjamzito? Au huwa unakataa na wengine?? Usimlazimishie majukumu yasiyomuhusu!! Kama unataka kumridhisha mshikaji wako pangishia hao wageni gest karibu na Hosp!! Ila ujue jukumu unalotaka kujibebesha ni kubwa sana!! Kwenye kujifungua kuna mambo mengi mazito!! Sitaki kuyataja itakutisha ila mkeo mweke mbali na hili na usimuhukumu!! Yupo sahihi kabisa vile haukumshirikisha tangu mwanzo
Wakuu,
Kisa chenyewe ni hiki;
Mwenzenu mke wangu hasomeki. Mimi nina rafiki yangu tangu enzi hizo tuko primary. Huyu jamaa yangu, binti yake kaolewa na sasa ni mjamzito. Kama mnavyojua ujauzito wa mtoto wake wa kwanza huyu rafiki yangu kapagawa kushinda Mkwe wake.
Wanaishi bush, sasa ameniomba binti take aje akae kwangu ili ajisubilishe kujifungua katika hospital nzuri town.Ombi lake lilikuwa la maongezi kwa njia ya simu, mimi kwa haraka haraka bila kumshtua/kumwambia mke wangu nikakubàli.
Nilipofika nyumbani nikamweleza ujio wa wageni hawa. Aisee sikutegemea, mke wangu aliwaka kama Mbogo, na kuanza kuniambia wewe mimba unaijua?
Akakomaa kuwa hataki kuwaona hapa.
Sasa wakuu, wenye wapenzi hii issue ni i handle namna gani? Manake jamaa nimeshamuahidi, sasa kumwambia asije naona soo.
Nipeni mawazo wandugu
Msikilize mkeo...Wakuu,

hujamshirikisha toka mwanzo, nyumba ni ya wawili.... Mgeni wa siku moja haina tatizo, lakini mgeni wa kuja kukaa daah,
Lakini Jitahidi kuwa mkorofi, Wanaume tunapaswa kuwa wapole kiasi na wakorofi kiasi kuleta heshima, siyo kila anachosema mkeo unaitikia tuu...hapana. Yashanitokea, unakuta mwanamke anasema kabisa baba fulani ni mpole mpaka anakera...Onyesha msimamo.
Jiandae kumkanda maji akishajifungua.... na kumsaidia mzazi...kumpikia na kumfulia