Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu hariziki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwanini tu, Jul 19, 2012.

 1. k

  kwanini tu Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mke wangu hariziki na mapenzi nimemuoa tu jusijusi.hapendi hata kunipikia ni mlalamikaji sana.nimechoka
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  muulize huyu nyani ..katumia technique gani huyo bibie kapagawa ivo[​IMG]
   
 3. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kama haridhiki ina maana unayofanya hayana swagga tafuta kumridhisa inawezekana tatizo ni wewe
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mh.......
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,179
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  rekebisha basi hicho kiswahili hapo kwenye red

  you are the last person i expected to see with such kind of comment! lol mbavu sina.
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,179
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  kwanini tu hebu kua mtumzima yaani uoe juzi juzi tu halafu leo umemchoka mkeo? this can not be bana ngoja nikwambie labda bibie ana kijusi na kimeshaanza kumtibua mood wise. uwe makini msije mkaishia kukiharibu nenda naye taratibu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Mkeo haridhiki katika mlengo upi?
  1. Hafiki mshindo?
  2. Anafika mshindo lakini anataka mara kwa mara?
  3. Haridhiki na jinsi unavyompenda?
   
 8. M

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah! Itabidi uwaombe radhi manyani wote!
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanawake wasipo ridhika wabaya sana, ni muda mfupi tu kabla hajaanza kutoka nje.
   
 10. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,186
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbaya ni mwanaume anayeshindwa kutoa dose kamili kwa mwanamke.
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,611
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mtafutie didlo.....
   
 12. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,230
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Acha hizo weweee,ulipokuwa unaoa hukuambiwa kama mnatakiwa mvumiliane kwenye shida na raha na kifo ndio kita watanganisheni!pia ule umati uliokuja pale harusini ulifikiri umekuja pale kunywa pombe au kushuhudia jinsi unavyoji-commit kuwa umempata mwenza wa kufa na kuzikana,nyie ndio mnaotufanya sometimes tunakuwa wazito kuchangia harusi,tunatoa hela kibao matokeo yake ndio hayo ya kuishi siku mbili halafu mnaachana.
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,849
  Likes Received: 6,605
  Trophy Points: 280
  smile umenichekesha sana hadi watu wananishangaa!
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,849
  Likes Received: 6,605
  Trophy Points: 280
  Fanya njia yeyote aridhike lasivyo atatoka nje!

  Pole sana
   
 15. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,377
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Mkuu, hakuna mwanamke anayeridhika Duniani, na hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke duniani kote. Komaa naye tu, mtafika.
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  kwa nini?
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  aha hahaaa sijui bana mimi napita tu
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,704
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  JF naiogopa Smile...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Labda hujaacha hela ya mboga atakupikia nini sasa??
   
 20. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Kama haridhiki maana yake hujaplay part yako vema. Hakikisha unamridhisha, usichoke. Ndo ndoa hiyo.
   
Loading...