brazilian
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 604
- 115
mke wangu hariziki na mapenzi nimemuoa tu jusijusi.hapendi hata kunipikia ni mlalamikaji sana.nimechoka
Achana nae huyo mama tafuta mwingine.
Samahani wewe ni Mjaluo au Mnyakyusa kufuatana na hiyo underlined text.