Mke wangu hapendi kabisa stories za mapenzi

Mke wangu hapendi kabisa stories za mapenzi

Huyo ni kundi la wale wanafikiri kuzungumzia hayo mambo ni dhambi.
bila shaka mwanamke kama huyu lazima awe kama gogo tu kunako 6kwa6.
lakini naoja ni jamii ya wale wanaofumba macho wakati wa mgegedo.
Ni jamii ya wale wanao lala na nguo, wanaosubiri mwanaume aanzishe.
 
sasa wewe unampgisha story za mapenZi wakati humpeleki shopping??????????

Hahahahahhahahaa..... Yawezekana.... Angejaribu hii mix labda ingemstimulate mkewe kupenda penda stori za malavidavi....
 
Wapendwa hii ni kawaida kwa mwanamke kutopenda kuongelea chochote kuhusu kitu chochote au kutamka chochote juu ya mambo ya mapenzi,msaada kwa wazee wa psychology.

Ana depression. Inaonekana kuna gap kubwa kati yenu kiasi alishakata tamaa. Anaona hata akikushirikisha stress zake huna msaada. Unachotaka wewe ni mapenzi tu ambayo yeye kwa uamuzi wa maisha yake siyo kipaumbele tena. Mostlikely yuko kwenye ndoa kwa sababu hana pa kwenda, uwezo wa kuishi peke yake hana, analea watoto wake waondoke katika umri wa hatari ili hata kama ni kufa akubali kufa, anaishikwenye ndoa kwa hofu ya jamii "watanionaje", hana imani kwamba kuna mapenzi duniani zaidi ya kuvumilia huku ukingojea siku zako za kufa zifike.

Yawezekana alikuwa na maelngo yake katika maisha lakini sasa yako frustrated na thammani ya maisha kweke haiko tena. Anaishi labda katika mahusiano ya kbiashara lakini hana hisia za mapenzi nawewe na hivyo hata kuyazungumzia haoni sababu. Pengine kapitia maisha magumu na wewe hujafahamu na hujaweza kumfanya afarijike. Anajua maisha ni mateso.

Usijisike vibaya, suala siyo kwamba wewe ni mbaya, lakini yawezekana ni ignorance yako au mismatch!.
 
Wapendwa hii ni kawaida kwa mwanamke kutopenda kuongelea chochote kuhusu kitu chochote au kutamka chochote juu ya mambo ya mapenzi,msaada kwa wazee wa psychology.
Ni mkeo au demu wako? Kua mkweli ! Kama ni mkeo halali basi kazi unayo..
Anasali kwa mtume na nabii nani?
Wapendwa hii ni kawaida kwa mwanamke kutopenda kuongelea chochote kuhusu kitu chochote au kutamka chochote juu ya mambo ya mapenzi,msaada kwa wazee wa psychology.
 
Hivi kuna watu wanafikiri natania nahitaji msaada wenu sana wa kimawazo
 
Back
Top Bottom