Mke wangu hanitaki

Kaishapata buzi huyo, na hiyo kauli yake ya kusema tuachane ni kwamba anataka afanye yake kwa Uhuru. Ukimuacha tu anaenda kwa buzi lake
 
Yale uliyonishauri ni kwa sababu akili zako zilikuwa za usiku tu au mpaka sasa bado utanishauri nikimkuta yule jamaa nimzabue mikofi??
Hahaha...waogopa ukimnasa makofi atakugeukia na kukujia juu mkuu"",... basi usimpige tena ilikuwa ni akili ya balimi ile
 
ah wala hamna shida sii asepe zake tuu au wewe unampenda sana?
 
Aisee duh! Mimi isingefikia hata kumuuliza mimi ni nani kwako. Nikimuona mtu hanisomi natambaa mbele tu
 
Hahaha...waogopa ukimnasa makofi atakugeukia na kukujia juu mkuu"",... basi usimpige tena ilikuwa ni akili ya balimi ile
Hahahahahahahahahahaha! eee banaaaaa eeeee! hapa sasa nimekubali maanaa nlikuwa sielewi ujue, kumbe balimi tu zile daaaadeki.
Salute aiseee, pombe si chai uongo??
 
Hakutaki? Mwache nyumba gani hiyo sasa
 
Hahahahahahahahahahaha! eee banaaaaa eeeee! hapa sasa nimekubali maanaa nlikuwa sielewi ujue, kumbe balimi tu zile daaaadeki.
Salute aiseee, pombe si chai uongo??
Hahaha ...Acha tu "" Pombe haiwezikuwa chai " Uji " wala Juice ..mkuu"" acha kabisa yaaani
 
Jibu tayari unalo.Hakutaki,lakini still unamuita mkeo. Huyo tayari ashampata anayemfaa,wewe unaigiziwa duu.Ebu jaribi kuukubali ukweli,uanze maisha mapya
 
fact...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…