Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,096
- 51,701
Ulichukua hatua gani ili kumsaidia mwenzetu afanye maamuzi?Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
Una hela?
Hamna mkate mgumu mbele ya chai. Pata hela mzeee, tabia yake itarekebika automatically. Usifanye mchezo Na upako wa fedha
kuna wanaume wenzio wanaitamani sana hii kauli na hawaipatituachane nimechoka.
Msaada,
Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka.
Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.
Haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma.
Unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Ebu naomba yake ya simu tafadhali, asikuchukie namna hiyo.....nipe hiyo namba nimfunde vizuri akupe heshima unayostahili.
Hahahah huyo ndio mchawi pekee. Dawa ya kumnyoosha mke mkorofiUna hela?
Hamna mkate mgumu mbele ya chai. Pata hela mzeee, tabia yake itarekebika automatically. Usifanye mchezo Na upako wa fedha
Dah halafu mbaya zaidi unajua fika kuwa haendi huko anapokudanganya kuwa anaenda! Anaenda mtombano tu,,,na nwanamke akifikia hapo hata **** inatolewa kwa masharti kinoma! Its so hard kuishi na mtu asiekupendaSure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wake
Hivi mwanamke wako akitongozwa akawa na affair pembeni kisha ukaja kugundua kuwa ana mtu zaidi yako hutaanza kuwa mkali juu ya hio tabia.Mm na mtizamo tofauti hapa...
Mwanamke kutongozwa ni lazima, na ni vigumu kucontrol, kwahiyo muamin kweli.
Kuhusu kumkanya jambo fulan anakimbilia kusema muachane, inawezekana kachoka na tabia zako [irrational decision] , au unakuwa unamkandamiza sana na kukosa haki zake kibinadamu...
Ungetoa mfano wa nn hasa ulimkanya akasema muachane , ingekuwa vema..
Mwache mwezi mmoja tu mbona atarudi kwa magoti huyo
Ha ha hii ipogi sana endapo mwanamke akiwa hakupendi ama hana hisia na wewe yani. Tumepitia yote mie wangu alikuwa analalamika kuwa namfatilia sana ila kiukweli ukishanionesha dalili ya kutokuwa muaminifu ntakufatilia hadi ujute kunifahamu.Alikuwa na tabia ya kuanzisha affair na mtu mpya kila itokeapo yuko mbali na mimi hasa akisafiri au mi nikisafiri.Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
This life.... ukiwaza ajali kweli hutanunua gari.. the same to This mahusiano...Ha ha hii ipogi sana endapo mwanamke akiwa hakupendi ama hana hisia na wewe yani. Tumepitia yote mie wangu alikuwa analalamika kuwa namfatilia sana ila kiukweli ukishanionesha dalili ya kutokuwa muaminifu ntakufatilia hadi ujute kunifahamu.Alikuwa na tabia ya kuanzisha affair na mtu mpya kila itokeapo yuko mbali na mimi hasa akisafiri au mi nikisafiri.
Siku tulioachana ni baada ya kugombana mda mrefu kuna njemba ilikuwa na affair nae ni danga in such ila alifanya siri ila nlishajua mapema tu kuwa ana affair nae. Ile hali ya kupigiana simu na kufuta logs pale nikitoka home tu kwenda kwenye mishe zangu ikawa inanikera kinoma. Nikamchana ila mtu habadiliki.
Siku moja nikampigia yule jamaa kumwambia very friendly kuwa anaweka stress kwenye uhusiano wangu kama vipi ampotezee dogo. Jamaa akaelewa akamrudia manzi na kumchana maana alimdanganya kuwa tulishaachana.
Kilichofata si mtoto ananipigia simu na kunilaumu kishenzi,,eti oh umeniharibia sana sijategemea we kumpigia jamaa simu. I was like WTF?! Yani mpenzi wangu kumbe hanitambui wala hatambui kuwa alilofanya ni kosa kubwa? Yeye anajiona yuko sahihi na mimi ndio zuzu.
Kitu nlichomuuliza hivi mimi ni nani kwako? Hakuweza kunijibu akanipa kavu tu sitaki kukujibu katikati ya maongezi nikambana na kauli akafikia kuropoka sikutaki nmechoka tabia ya wewe kupigia watu simu unanidhalilisha nkamwambia kama kufanya kitu sahihi ni kujidhalilisha then kila la heri!
Mpaka sasa ananipigia simu nyingi mno nazipiga nyundo tu. Sms za pokea pls ni ishu muhimu. Sitaki mazoea na mpuuzi!
Yani kuna vidume wana roho za ki Yesu hadi raha. More than 2x Cheating halafu niendelee kukupenda. Hakunaga
For real achana na hii kitu inaitwa mahusianoThis life.... ukiwaza ajali kweli hutanunua gari.. the same to This mahusiano...