Mke wangu hanitaki

Mwambie sawa tuachane wewe shika hamsini zako na mimi nishike zangu
 
Tafuta pesa. Wala hutapata hii bughudha hata kidogo.
 
Mkuu,kuna siku moja huyo mkeo atakubwaga mazima yani,ushauri wangu jiandae pysychologicaly,au anza wewe kumbwaga.

Nasubiri mrejesho.
 
Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
 
Mkubwa kwangu mkuu halafu kama nlivyosema tuna undugu aisee
kwani mkubwa ndio hapigwi ...tena ungempiga ndio ingesaidia mnooo"" Maana angekaa chini na kutafakari vyema "" imekuwaje mtu mzima mpaka nikapigwa na mdogo wangu... yaweza kuwa sipo sahihi kweli "" wapi nakosea .....kama mdogo wangu ameweza kuyaona madhaifu yangu "" hali ikoje kwa watu wengine ambao wanayaona pia lakini hawaniambiii kwa sababu sipo Karibu nao...."" SO UNGEMCHAPA MAKOFI TU AISEEE
 
Pole sana mkuu.

Yanayofaa kujishusha ili ugomvi uishe, jitahidi kujishusha ili muweze kuyamaliza hata kama unahisi yeye ndio chanzo.

Endelea kuwa na msimamo wako kwa yale ambayo hayavumiliki, usiyachekee wala usiyape nafasi. Play part yako, usimamizi na majukumu yako kama kawaida.

Yatakwisha tu, it just matter of time.
 
sawa baaab! hahahahahahhahaha
 
Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
Ikawaje mkuu??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…