Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,093
- 51,695
Man huyu bwana bado yuko kwenye hatua za ukuaji kuelekea uanaume so lazima vitu kama hivi vimuumize mpaka hapo atakapo pata kukuwa na kukubali ...Inauma kuskia mwanaume mwenzetu amefikia hatua hiyo ya kutetereshwa na mwanamke, ila tumshauri tu kwa kweli. Yaani unakuta mke wako anatongozwa ukauuliza anakuletea kibesi?? duh noma sana
That is fuked up shit. Yaan mwanamke hana heshima kabisa. Na anafanya hivyo makusudi kabisa akijua kabisa jamaa hana usemi kwake.Sure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wake
Mm na mtizamo tofauti hapa...Msaada kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka..sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma...unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Simwambii tena aisee as I had once told himThat is fuked up shit. Yaan mwanamke hana heshima kabisa. Na anafanya hivyo makusudi kabisa akijua kabisa jamaa hana usemi kwake.
Its time that guy afanye maamuzi now or moaka huyo mwanamke atakapo mletea mwaume mwingine ndani.
Man huyu bwana bado yuko kwenye hatua za ukuaji kuelekea uanaume so lazima vitu kama hivi vimuumize mpaka hapo atakapo pata kukuwa na kukubali ...
Kwa ushauri tu ili asiendelee kuumia. Afanye maamuzi magumu, sometimes mwanamke akikuona lege lege anakusumbua ... lakin ukiwa na misimamo uako hadhubutu kukuchezea.
My friend na wewe una-support hili? halafu ile ahadi sijatimiza. cheki simu yako nowMwache mwezi mmoja tu mbona atarudi kwa magoti huyo
Huna hata sababu za kuuliza ..majibu yapo tena mepesi tu mkuu.."" Huyo anachapiwa tena anaye mchapia kamfanya mkewe amuone yeye ambaye ndiye mume wake " silolote sio chochote ....daaahh mwanamke akikwambia tuachane Fanya hima kutekeleza hilo "" LA sivyo itakula kwako "" ...mpaka ukiona anatamka maeneno fahamu kuwa haupo moyoni mwake kabisaaaaaakuna shida hapo mkuu... hebu tuambie wasifu wa mke na mazingira mliyooana ilikuwaje tukusaidie..!!!
ha hahahaUkiona hivyo mwanamke ana hela kuliko mshikaji
hahahah...mamaee ungempiga hata makofi mawili akili imkae sawa kidogoSure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wake
anajua sana kuwa hapendwi ..sema ndio vile " Jamaa anajiuliza akulimuacha atapata wapi tena mke mwingine "" usikute huyo aliyenaye alitongozewaga "" na washikajiHupendwi halafu hujijui kama haupendwi mkuu pole sana