Una hela?Msaada kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka..sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma...unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Ukiona hivyo mwanamke ana hela kuliko mshikajiInauma kuskia mwanaume mwenzetu amefikia hatua hiyo ya kutetereshwa na mwanamke, ila tumshauri tu kwa kweli. Yaani unakuta mke wako anatongozwa ukauuliza anakuletea kibesi?? duh noma sana
Ina wezekana kabisa mkuu, hii nimewahi kuishuhudia kwa mtu wangu wa karibu sana! Huyo dada ndio alikuwa kicha cha familia per se! mshkaji alishindwa kumuachaUkiona hivyo mwanamke ana hela kuliko mshikaji
Thats true man. Sometimes some woman are not in control of their own emotions.Mkuu hivo ni viashiria vya kuto kukutaka tena, haijalishi sababu zinazomfanya awe hivyo.
Mwanamke makini hujaribu kutafuta suluhisho la matatizo yanayotokea ndani ya familia yake, hebu muache atembee mkuu aaakusumbua sana kichwa huyo. Unless kama upo katika mazingira ambayo huwezi kumuacha na hilo utueleze tujue tunakushaur vipi.
Pole sana lakini mkuu
Ni utumwaIna wezekana kabisa mkuu, hii nimewahi kuishuhudia kwa mtu wangu wa karibu sana! Huyo dada ndio alikuwa kicha cha familia per se! mshkaji alishindwa kumuacha
Inauma kuskia mwanaume mwenzetu amefikia hatua hiyo ya kutetereshwa na mwanamke, ila tumshauri tu kwa kweli. Yaani unakuta mke wako anatongozwa ukauuliza anakuletea kibesi?? duh noma sana
Sure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wakeThats true man. Sometimes some woman are not in control of their own emotions.
Muda mwingine mwanamke anafanya hivyo akidhani anamkomoa mumewe au ana mrekebisha lakin kumbe ndio anaharibu sana.
Solution kwa jamaa afanye maamuzi magumu . Dawa ya mwanamke anaye ku desperect ni mwanaume mwenye maamuzi.
Mbaya sana aiseeMkewe kashamshika akili...