Mke wangu haniheshimu

Uzuri wa hizi mambo bana unaeza ambiwa achana naye kumbe moyo wako hata hauwezi hiyo kitu.

Hapo kikubwa angalia vile moyo wako unakutuma kama unaeza vumilia basi endeleeni kuishi mlee watoto wenu.
 
Kama umeyumba kiuchumi wewe sepa ukipata hela usirudi, ingawa ataanza kuleta ukaribu na wewe
 
Ushuhuda mkali Sana huu,
pole Sana mkuu kea ulopitilia
 
Pole sana,kosa tunalolifanya huwa tunaangalia tu sura,mavazi na umbo,huwa hatuangalii akili ya muhusika,unajifariji kuwa atabadilika tu nikisha muweka ndani,mwisho wa siku unakuja kugundua kuwa uzuri wa sura,mavazi na umbo havina maana yoyote kwenye mahusiano yenu...
 
Kama anakusumbua achana nae ila jitahidi hao watoto unakua nao karibu na ikifika kipindi cha kuishi nao wachukue ukae nao ww
 
Naomba jamani, mwanamke hana adabu kwa mtu yeyote, yaani nimeingia choo cha kike.

Nimekwambia haheshimu mtu yoyote mkuu
Usimwache mkeo, endelea nae mlee familia angalau uwashepu wanao kimaadili ukiwepo ila jua tu huyo mkeo hatabadilika, huyo ana tabia ya kushindana muda wote, HATABADILIKA.

Cha kufanya ni wewe kubadili mindset yako kichwani, ondoa dhana uliyokuwa nayo kuwa utapata mke bora na ndoa njema. Ishi nae huyo mkeo kama mtu mnayefanya nae ngono pale ukimhitaji, masuala ya heshima nk achana nayo kabisa. Ukiweza kubadili hilo kichwani mwako hatakusumbua, sema utasumbuka tu pale unapotembelewa na ndugu na wageni kuwaza kuwa atakuaibisha, japo hili unaweza kuliSOLVE sasa kwa kumwambia kuwa asijichanganye kufanya UJINGA mbele ya wageni, na hili lioneshe kwa vitendo kwa kumpiga vitasa akizingua.. utaishi kwa furaha kabisa. Badili mindset yako wewe mkuu na sio ubadili tabia ya mkeo. Usimwache
 
😁😁😁 moyo unaingizaga watu Chaka, ilimradi mbususu anakupa vizuri wewe mzoee tu . Huo ndiyo mzigo wako yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…