bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Hehehehee umaskin unazua matatizo mengi sana, ndomana nimesema sitakaa niingie kwenye ndoa hasa na mtz, wanaume wa kitz wamelelewa kuwa mke ni chombo cha ngono, hausigel, punda etc usitegemee watabadilika thats how they are
INAWEZEKA HUYU MWANAMKE NI MATAWI ya JUU KUKUZIDI. TAFUTA SAIZI YAKOnimeoa mtu wa manyara....mbulu, mbona dada zake wanaonekana wana heshima? hata kama hayupo wao wakinitengea maji bafuni utasikia wanasema..''shem kaibu maji bafuni'' lakini yeye mwenye mali utasikia anafyatuka ''nyanyuka ukaoge wengine wanataka kuoga utawachelewesha'' basi mi namwangalia simumalizi!
ambebe mdada wa watu atoke chembe ya moyo????
eti kabisaaaa analalamika mke wangu hanibembelezi akiniwekea maji kuoga
ebooo yaani mkeo atakuwa ana shida sana inaonekana wewe si muelewa
Kwanza usiseme hana nidham, ila nakuomba angalia back ground yake, alikozaliwa, na je mama yeka alikuwa anayafanya hayo? je amelelewa katika mazingira gani. ukishajua unaweza ukamrekebisha, kwa sababu inawezekana yeye akawa anaona hiyo ni lugha ya kawaida kukueleza hivyo, lakini kumbe anakosea.Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!
Ndugu yangu, tupo katika safina moja ila tofauti ni watu tu kwani yanayokusibu ni kama umekopi kwangu. Tatizo ukimwambia ukweli khs hilo wala hashtuki mi binafsi nimekuwa na mawazo mengi sn nahisi ni ujivuni wa wanawake wa kaskazini kwani nami wangu atoka huko kazi kujisifia tu nimefanyiwa vichenipati v3 so what....!? Mbaya zaidi ni kutokubali ukweli na hali halisi mi nimetumia njia ya udikteta kdg kabadilika jaribu mwambie... Ndoa ni katiba mbili zinavunjwa kutengeneza iwe moja, ni lazima mmoja awe chini na awe tayari kupokea amri na maagizo toka kwa mwenzie ndo tutaenda tofauti na hapo hakuna katiba 1 wala ndoa hakuna. Mkumbushe kuwa waafrika mwanaume huwa anaoa na wala hatuoani! inawezekana timiza wajibu wako!
hana matawi yoyote..yaani kama ni kuwa juu mi ndo niko juu kwa kila kitu sema tu ni mambo ya kuoana ambayo huwezi kumwambia mwenzako ulikomtoa maana atajihisi kuwa unamnyanyasa ukimkumbusha ya nyuma!INAWEZEKA HUYU MWANAMKE NI MATAWI ya JUU KUKUZIDI. TAFUTA SAIZI YAKO
Kama ishu ni maji ya kuoga tu, si uweke mabomba bafuni?
Na akikucheat si utamla alive?
Culture, culture, culture!
eti eeeeh! ngoja nisubiri niwe mpore kama maji mtungini
duh, nilidhani yananikuta mimi tu kumbe na wenzangu yanawakuta! ushauri wako ni mzuri na nitauzingatia. unajua wanawake wa kibongo wanataka kutuletea mambo ya kiulaya..eti tumeoana..inawezekanaje?
Mawasiliano madogomadogo ndani ya nyumba yanaweza kuvunja ndoa au yasivunje,kukawepo na usaliti au usiwepo.Mfano unaomba chakula, unanyooshewa mguu "kile pale"halafu upate nyumba ndogo anaejua majukumu,atasoma namba na kubaki kulaumu.
Kama ishu ni maji ya kuoga tu, si uweke mabomba bafuni?
Na akikucheat si utamla alive?
Culture, culture, culture!
wanaume bwana mnaboajeeee <br />
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo
wanaume bwana mnaboajeeee <br />
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo