elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!
we Nonda unataka mwenzio uanaume wake upungue? Hujui wanaume wanalelewz kama watoto????????
Unaishi kwa nadharia kuliko uhalisia unadhani kila nyumba unaweza kuweka hizo bafu za kisasa?
Siungi mkono nyumba ndogo ila nilichokuwa namaanisha ni kuwa huwezi jenga bafu kila nyumba unayokwenda maana sio wote wanaishi kwenye nyumba zao na sio kila nyumba ina bafu nzuri pia ujue bafu inakuja baada ya kukamilisha ujenzi wa nyumba hata kama ni nyumba yako, Ila bafu ingekuwa kama friji au TV hapo ningesema sawa kuwa ni vzr kujitahidi unapohama unakwenda nayodancani, gharama ya nyumba ndogo mnayoshobokea mbona ni kubwa kuliko Hilo bafu, wanaume pangeni vizuri maisha yenu.
hivi mkuu umsoma vzr post yangu??
mm nimempa option mbili na nikaaanza na ile ambayo inawezekana kwa kila mtu, je kutoa alternative nyingine ni mbaya??
hata kwenye EIA project alternative inaruhusiwa so kama wewe huelewi uulize na sio kuzodoa as if umepata