Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,306
- 83,757
Yeah hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa. Lakini cha ajabu kuna wanawake wanafanya hayo yote sasa sijui wanafanya kwa kupenda ama wanaogopa tu kuachika.nitoke huko nimechoooka na foleni za Dar nifikie makazi? Hapana aisee nitafanya weekend.
Dada yupo na ninamsimamia vizuri ili kila kitu kiende sawa, ila kwa mama wa nyumbani ambaye kazi yake kuchat tu ashindwe kufanya kazi?