Mke wangu atasababisha nife kwa kweli...

Toka nimemuoa huu ni mwaka wa 2 nampenda sana kiasi hata yeye anajua kuwa kwake sipumui, sihemi yaani nakuwa kama fala tu. Kiukweli nilihangaika sana kumpata nimemfukuzia kama miaka 2 hivi siku moja kama ndoto akakubali basi tukaanza uhusiano ila aliniambia nisifikirie kabisa habari za kukamuana mpaka ndoa basi nikawa mimi nauza naye sura tu. Ananipigia simu nimpeleke au nikamchukue sehem fulani siku nyingine akiwa ana kunywa na rafikize wa kike na kiume then ananiambia nikamchukue naenda bila hiyana nampeleka kwake.

Kipindi chote hicho alikuwa akinitambulisha kwa rafikize kuwa mi ni rafikiye nilimuuliza why akanambia hatujawa wachumba so hawezi niita mpenzi wakati bado, ila nilikuwa naenjoy sana kuuza naye sura maana ameumbika sana huyu dada alikuwa anaweza nipigia simu hata saa nane usiku nikamchukue klabu naenda namrudisha kwao alikuwa anapenda sana kwenda klabu na rafiki yake anaitwa Benny. Huyu jamaa alikuwa rafiki yake sana na alinambia hamna wa kuwatenganisha urafiki wao mpaka leo huwa ananiaga anaenda kumsalimia Benny.

Sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipendi kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehemu yake ya siri tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwezi mlazimisha, hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalala siku nyingine anarudi amechoka sana ananambia nimletee chakula room ale akila anajitupa kitandani basi natoa vyombo na kusafisha meza tunalala hapo hataki hata nimkumbatie na kiukweli kukumbatiana nako kuna joto sana basi namwacha mke wangu mpenzi alale.

Mimi ntakufa tu kwa mapenzi maana nampenda huyu mwanamke acha kabisa salary yangu yeye ndo huenda kutoa nlimpa kadi ya bank na password alibadilisha akaweka anayoijua yeye tu ili nisiwe natoa hela halafu naonga michepuko so huwa anatoa kkisha ananipa kiasi ya nauli kwa mwezi. ananonekana ananipenda ana wivu sana. akirudu toka kwenye mizunguko yake huwa anaoga tu na kuangalia tv mimi inabid ndo nimwandalie kila kitu kwa jinsi tunavyopendana.

kuna siku alirudi amelewa tukalala naye akawa maskini anaota anamtaja benny nikamwonea huruma jinsi ambavyo analalamika kuwa benny anamuumiza afanye polepole ikabidi nimuamshe ili asiumie zaidi nikamwambia ndo akasema huyo benny alikuwa anamkuna mgongoni hivyo alikuwa anamwambia amkune polepole. basi ndo hivyo mapenzi yangu jaman na huyu mwanamke yamfika mlima kilimanjaro...yaani tunapendana kufa.

Rubbish.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]story yako imenifanya nifure..[emoji23]
hapa nilipo natamani niruke nikung'ate sikio... maana kama kuna mwanamme bwege kiasi hicho bila kulogwa....
achunguzwe.. huwenda ana tezi jike[emoji23]
Teh teh teh. Aah! Tezi dume sawa. Tezi jike ndiyolip'ilo? Humu jf kunamambo nyie!
 
Toka nimemuoa huu ni mwaka wa 2 nampenda sana kiasi hata yeye anajua kuwa kwake sipumui, sihemi yaani nakuwa kama fala tu. Kiukweli nilihangaika sana kumpata nimemfukuzia kama miaka 2 hivi siku moja kama ndoto akakubali basi tukaanza uhusiano ila aliniambia nisifikirie kabisa habari za kukamuana mpaka ndoa basi nikawa mimi nauza naye sura tu. Ananipigia simu nimpeleke au nikamchukue sehem fulani siku nyingine akiwa ana kunywa na rafikize wa kike na kiume then ananiambia nikamchukue naenda bila hiyana nampeleka kwake.

Kipindi chote hicho alikuwa akinitambulisha kwa rafikize kuwa mi ni rafikiye nilimuuliza why akanambia hatujawa wachumba so hawezi niita mpenzi wakati bado, ila nilikuwa naenjoy sana kuuza naye sura maana ameumbika sana huyu dada alikuwa anaweza nipigia simu hata saa nane usiku nikamchukue klabu naenda namrudisha kwao alikuwa anapenda sana kwenda klabu na rafiki yake anaitwa Benny. Huyu jamaa alikuwa rafiki yake sana na alinambia hamna wa kuwatenganisha urafiki wao mpaka leo huwa ananiaga anaenda kumsalimia Benny.

Sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipendi kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehemu yake ya siri tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwezi mlazimisha, hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalala siku nyingine anarudi amechoka sana ananambia nimletee chakula room ale akila anajitupa kitandani basi natoa vyombo na kusafisha meza tunalala hapo hataki hata nimkumbatie na kiukweli kukumbatiana nako kuna joto sana basi namwacha mke wangu mpenzi alale.

Mimi ntakufa tu kwa mapenzi maana nampenda huyu mwanamke acha kabisa salary yangu yeye ndo huenda kutoa nlimpa kadi ya bank na password alibadilisha akaweka anayoijua yeye tu ili nisiwe natoa hela halafu naonga michepuko so huwa anatoa kkisha ananipa kiasi ya nauli kwa mwezi. ananonekana ananipenda ana wivu sana. akirudu toka kwenye mizunguko yake huwa anaoga tu na kuangalia tv mimi inabid ndo nimwandalie kila kitu kwa jinsi tunavyopendana.

kuna siku alirudi amelewa tukalala naye akawa maskini anaota anamtaja benny nikamwonea huruma jinsi ambavyo analalamika kuwa benny anamuumiza afanye polepole ikabidi nimuamshe ili asiumie zaidi nikamwambia ndo akasema huyo benny alikuwa anamkuna mgongoni hivyo alikuwa anamwambia amkune polepole. basi ndo hivyo mapenzi yangu jaman na huyu mwanamke yamfika mlima kilimanjaro...yaani tunapendana kufa.
Daah hii motonyoso epai ya nzambe na mokili butwaa langalanga asakupeee.
 
Watu wanasaka supu ya pweza we unaenda sheli kununua mafuta ya taa
U sick bro.

Hainaga ushemeji
 
mkuu mbona hujalazimishwa kuchangia? au wivu nao unakusumbua? kama thread haikufurahishi si unaishia zako tu kuliko kujitoa ufaham kiasi hiki? jamaa amekudharau tu hata hajataka kuhangaika na wewe.

ha ha ha ha......nmepumzisha akili yangu kikweli. unajua kuna wakati wa kupata burudani na njia moja wapo ni kusoma habari za jamaa kama huyu. anasimulia vizuri na anaonesha namna gani yupo kwenye mapenzi hasa. mi namtumia tu wimbo wa babu jinga simama ufikiri mali yako inaliwa.................................
 
Jamani na mie hii bahati ya kupewa kadi ya bank itanikuta lini jamani????Ila huko kunywa mafuta ya taa si kuna siku utawaka???
 
aiseeee wanaue wenye mapenz yako hamna kabisa. nataman ningekupa dada yangu umuoe. anataman sana kupata mwanaume kama wewe wanaume ma bumebume yamemuumiza sana ana stress tu kwa sasa. kama vipi nikupe namba ya sister muwe hata mnawasiliana.
 
ha ha ha..nmecheka sana na koment yako...ni kweli kuna siku akipita karibu na moto anaweza waka. jamaa nadhan alsioma boarding ndo wana michezo ya kutuwekea mafuta ya taa kwenye msosi kutukata stimu ya mikasi

Back
Top Bottom