Mke wangu atasababisha nife kwa kweli...

mwanaume akifanya hivi ni bwege.
mwanamke akifanya ndo mapenzi na kutunza ndoa

#miafrika mingine buana
 
We muongo
wanawake wengi wanatamani kupata bwege kama hilo
labda we useme umesikia wivu...
hapana mimi sipendi dhambi..
wema usizidi uwezo
kisa cha kumfanya mtoto wa watu msukule???
akhuuu...
nataka anipende kwa akili za kawaida
 
mwana umepigwa limbwata la Liwale Lindi utabakia zuzu mpk jamii itakucheka nyie ndio uwa mnamsubiria mke guest anakwambia kaenda kuongea
 
Mkuu umetishaaa...naomba unitag kweny stroy zako pale utakapotunga tena nyingine
 
Toka nimemuoa huu ni mwaka wa 2 nampenda sana kiasi hata yeye anajua kuwa kwake sipumui, sihemi yaani nakuwa kama fala tu. Kiukweli nilihangaika sana kumpata nimemfukuzia kama miaka 2 hivi siku moja kama ndoto akakubali basi tukaanza uhusiano ila aliniambia nisifikirie kabisa habari za kukamuana mpaka ndoa basi nikawa mimi nauza naye sura tu. Ananipigia simu nimpeleke au nikamchukue sehem fulani siku nyingine akiwa ana kunywa na rafikize wa kike na kiume then ananiambia nikamchukue naenda bila hiyana nampeleka kwake.

Kipindi chote hicho alikuwa akinitambulisha kwa rafikize kuwa mi ni rafikiye nilimuuliza why akanambia hatujawa wachumba so hawezi niita mpenzi wakati bado, ila nilikuwa naenjoy sana kuuza naye sura maana ameumbika sana huyu dada alikuwa anaweza nipigia simu hata saa nane usiku nikamchukue klabu naenda namrudisha kwao alikuwa anapenda sana kwenda klabu na rafiki yake anaitwa Benny. Huyu jamaa alikuwa rafiki yake sana na alinambia hamna wa kuwatenganisha urafiki wao mpaka leo huwa ananiaga anaenda kumsalimia Benny.

Sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipendi kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehemu yake ya siri tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwezi mlazimisha, hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalala siku nyingine anarudi amechoka sana ananambia nimletee chakula room ale akila anajitupa kitandani basi natoa vyombo na kusafisha meza tunalala hapo hataki hata nimkumbatie na kiukweli kukumbatiana nako kuna joto sana basi namwacha mke wangu mpenzi alale.

Mimi ntakufa tu kwa mapenzi maana nampenda huyu mwanamke acha kabisa salary yangu yeye ndo huenda kutoa nlimpa kadi ya bank na password alibadilisha akaweka anayoijua yeye tu ili nisiwe natoa hela halafu naonga michepuko so huwa anatoa kkisha ananipa kiasi ya nauli kwa mwezi. ananonekana ananipenda ana wivu sana. akirudu toka kwenye mizunguko yake huwa anaoga tu na kuangalia tv mimi inabid ndo nimwandalie kila kitu kwa jinsi tunavyopendana.

kuna siku alirudi amelewa tukalala naye akawa maskini anaota anamtaja benny nikamwonea huruma jinsi ambavyo analalamika kuwa benny anamuumiza afanye polepole ikabidi nimuamshe ili asiumie zaidi nikamwambia ndo akasema huyo benny alikuwa anamkuna mgongoni hivyo alikuwa anamwambia amkune polepole. basi ndo hivyo mapenzi yangu jaman na huyu mwanamke yamfika mlima kilimanjaro...yaani tunapendana kufa.
Nimecheka sana kwa kweli hasa hapo alipokuwa anaota kuwa anaumizwa na Benny akunwe pole pole akamwamusha tehtehteh

Wanaume,wavulana kama wewe ni wa chache sana dunia hii.
 
utakufaje mara mbili ?kiongozi mathematically ur dead bado kuzikwa tu ........ kuna jamaa namfam alifukuzwa kazi bank fulani ha-pa =mujini kwa ssababu alikuwa kamzimikia mwanamke anakuja kukaa muda mwingi kwenye kibanda cha walinzi wa hapa kwenye jengo la ofisini kwetu ...anamsubiria mwanamke ...kazaa naye lakini waaapi yule mwanwamke akaja akamsaliti na jamaa mwingine wapo ofisi moja kuumbika kaumbika ana kalio la kimtego lakini mwanamke asikufanye ukaacha kutengeneza maisha eti unasema umeoa na mkeo anazurula kwenye mabar na kina ben hahahaha huyo ben ni mume mwenzio ukojee
 
Nimekasirika halafu nkajikuta nacheka mana nlivyoufungua mbiombio na nliyoyakuta
 
Toka nimemuoa huu ni mwaka wa 2 nampenda sana kiasi hata yeye anajua kuwa kwake sipumui, sihemi yaani nakuwa kama fala tu. Kiukweli nilihangaika sana kumpata nimemfukuzia kama miaka 2 hivi siku moja kama ndoto akakubali basi tukaanza uhusiano ila aliniambia nisifikirie kabisa habari za kukamuana mpaka ndoa basi nikawa mimi nauza naye sura tu. Ananipigia simu nimpeleke au nikamchukue sehem fulani siku nyingine akiwa ana kunywa na rafikize wa kike na kiume then ananiambia nikamchukue naenda bila hiyana nampeleka kwake.

Kipindi chote hicho alikuwa akinitambulisha kwa rafikize kuwa mi ni rafikiye nilimuuliza why akanambia hatujawa wachumba so hawezi niita mpenzi wakati bado, ila nilikuwa naenjoy sana kuuza naye sura maana ameumbika sana huyu dada alikuwa anaweza nipigia simu hata saa nane usiku nikamchukue klabu naenda namrudisha kwao alikuwa anapenda sana kwenda klabu na rafiki yake anaitwa Benny. Huyu jamaa alikuwa rafiki yake sana na alinambia hamna wa kuwatenganisha urafiki wao mpaka leo huwa ananiaga anaenda kumsalimia Benny.

Sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipendi kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehemu yake ya siri tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwezi mlazimisha, hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalala siku nyingine anarudi amechoka sana ananambia nimletee chakula room ale akila anajitupa kitandani basi natoa vyombo na kusafisha meza tunalala hapo hataki hata nimkumbatie na kiukweli kukumbatiana nako kuna joto sana basi namwacha mke wangu mpenzi alale.

Mimi ntakufa tu kwa mapenzi maana nampenda huyu mwanamke acha kabisa salary yangu yeye ndo huenda kutoa nlimpa kadi ya bank na password alibadilisha akaweka anayoijua yeye tu ili nisiwe natoa hela halafu naonga michepuko so huwa anatoa kkisha ananipa kiasi ya nauli kwa mwezi. ananonekana ananipenda ana wivu sana. akirudu toka kwenye mizunguko yake huwa anaoga tu na kuangalia tv mimi inabid ndo nimwandalie kila kitu kwa jinsi tunavyopendana.

kuna siku alirudi amelewa tukalala naye akawa maskini anaota anamtaja benny nikamwonea huruma jinsi ambavyo analalamika kuwa benny anamuumiza afanye polepole ikabidi nimuamshe ili asiumie zaidi nikamwambia ndo akasema huyo benny alikuwa anamkuna mgongoni hivyo alikuwa anamwambia amkune polepole. basi ndo hivyo mapenzi yangu jaman na huyu mwanamke yamfika mlima kilimanjaro...yaani tunapendana kufa.
Yaani kama ni kweli... basi KWA AKINA BUSHOKE KWA MBELE KIDOGO NDO KWENU... I mean ukifanyacho ni..
1. Ujinga uliopitiliza
2. Ujinga huo umeulea tangu mko marafiki
3. Ujinga huo umeulea hadi unaona ni kawaida na hujishangai
4. Jamaa anakula taratibu na wewe unakubali...

Nina maswali kabla sijahalalisha kuwa unafanya ujinga
1. Je huyo Benny kaowa?
2. Unaujuwa urafiki wake na Benny una mipaka ipi?
3. Kunywa mafuta ya taa unafahamu unachokiharibu ndani ya mwili wako?
4. Kwa maneno hayo, siku akigegedwa LIVE and DIRECT hutajiuwa?
5. Wazazi wake na wako wanaufahau urafiki wa mkeo na Benny
6. Una mtoto/watoto na huyo mkeo?
7. Umeshawahi kuongea na Benny?
8. Umeshawahi kuwaona wakiwa na Benny huku hawajui kama wewe upo?

The word ignorant is an adjective describing a person in the state of being unaware and is often used to describe individuals who deliberately ignore or disregard important information or facts............... hapo mimi naongezea........... IN THE NAME OF LOVE
 
Back
Top Bottom