TOFU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2012
- 573
- 196
- Thread starter
- #81
Sio X tu mkuu ila ninamtoto kabisa ila nimeweka utaratibu kwenye Shule husika..Na wewe raia wasiliana na ex wako ambaye ni raia
Nalipa ada mwaka mzima...
Bima ya mtoto ipo ..
nikitaka kumuona mtoto namfata Shuleni .
Sina mawasiliano na Mzazi mwenzangu kabisaa ...
Nimeamua kujenga mazingira magumu ili nisimkwaze mke wangu ..
Taarifa za mtoto wangu ni rahisi kuzopata kwa Mama angu mzazi kuliko kwa mzazi mwenzangu...
ila kwa mwenzangu naona anachukulia simple tu