Mke wangu anataka kunipeleka kwa mganga

Mke wangu anataka kunipeleka kwa mganga

This choice I made didn' t work
out the way I thought it would.

kinyume na matarajio
 
Habari zenu jamani,

Muda si mrefu nime-report hapa kuwa nimefukuzwa kazi kutokana na nature ya familia ya mke wangu, nimempigia simu mke wangu ameniambia haiwezekani hii si sawa lazima nasisi twende kwa mganga wa kienyeji tujue ni nani anaye fanya hayo mambo kwa familia yake.

Hapa nawaza sijui itakuaje tukienda kwa mganga, maana sijawahi kwenda kwahyo naogopa wadau.

hayo ni matatizo juu ya matatizo, mgeukie Mungu tu ndio jibu lako
 
yaan kuambiwa umefukuzwa ndo unaenda kwa mganga je ukichapiwa si ndo uutaenda nigeria??kama una skills utapata tena,ila kama ujiamin hiv
 
"It's Not Easy"

I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I'm getting married
I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama I
'M getting divorced
Oh I'm getting divorced

This choice I made didn't work out the way I thought it would [x2] it hurts me so mama
Mama said to me

[Chorus:]
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it [x3]
You'll be happy again

I remember in church
When the preacher read the scriptures
You looked so beautiful and innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future

This choice I made didn't work out the way I thought it would be [x2]
Now I'm hurting

I remember when I held you
By the hand preacherman read the scriptures
Putting words in your mouth

Maybe what the preacherman said was not something that was within you
Now I know what they mean when they say

Beautiful woman is another man's plaything
Oh Lord I'm hurting now

This choice I made didn't work out the way I thought it would
Mama said to me

[Chorus]


Duh umnikumbusha mbali sana
 
Naona muvi linaendelea, sijui kiingilio cha thread hii ni shilingi ngapi....!!!

Kuna njemba mbili na mke wao sijui wanajifunza kutumia jf
yani wanaboa natamani hata kuwachara stiki za ma.------
 
Yani kuna watu wanaboa humu aaaagggrrrr

yaan wanaboa sana jitu limekalisha mipumbu yake linaunganisha thread kibao zisizokuwa na maana yoyote, sijui ni kutafuta umaarufu??!! Q u maae
 
yaan wanaboa sana jitu limekalisha mipumbu yake linaunganisha thread kibao zisizokuwa na maana yoyote, sijui ni kutafuta umaarufu??!! Q u maae
Afu watu hawausomi mchezo linawaenjoy tu
itabidi thread ziwe zinalipiwa sasa
 
Kuna njemba mbili na mke wao sijui wanajifunza kutumia jf
yani wanaboa natamani hata kuwachara stiki za ma.------

kisa kununua visim vya tekno na kujifunza kufungua net ndio imekua shida
 
Afu watu hawausomi mchezo linawaenjoy tu
itabidi thread ziwe zinalipiwa sasa

lakin watu kama hawa tunawapa kichwa wenyew members. Utakuta thread ya kipuuz halafu wachangiaji wanakuwa wengi na kumpa ushaur wa maana.....
 
waafrica wengi tuna hulka ya unafiki,tumazaliwa kwa waganga,tumefungwa sana hirizi na wazazi wetu tena kiunoni na mikononi,tumekunywa sana dawa za kienyeji,tukija hadharani hivi tunajifanya kuponda kilichotulea na kutukuza.sirini tunarudi kupanga foleni hukohuko.
 
Kaka, nakucheka tena wala sio siri! Haya maujinga yako hayawezi kunipata. Hata kama nitafukuzwa kazi, i see it coming toka mbali na kuandaa plan b na c! Kabla sijaachwa nshasoma alama za nyakati. Na nikifukuzwa najua cv yangu itaniiuza tu na nitapata kaxi nyingine, sikufaulu shule kwa waganga ijekuwa kupata kazi? Una shida za kisaikolojia wewe, usiniulize habari za waganga mie, mtu anaishi kwenye kibanda cha nyasi ameacha kuloga wanae wakasoma na kupata kazi za maana ataniweza mie?
hela ipo mkuu, huwa nawaogopa hao watu. kweli hamna kitu kibaya kama shida, hao watu kweli wanasaidia mkuu? ni wapi naweza wapata? usinicheke king'asti wote hatujui ya kesho
 
Binafsi sijawahi kuwasikia wazazi wangu wakiongelea mganga wa kienyeji. Walinifundisha nitavuna nilichopanda. Ukipanda miiba hata ukeshe kanisani ukisali ama kwa waganga, huvuni mahindi. Kama wewe ulikua kwa hirizi, amini tu kuna wazazi mtoto akiumwa kifua ama mafua alipigwa mboko kwanza kwa kuchezea maji ya baridi afu akapelekwa hospitali!
waafrica wengi tuna hulka ya unafiki,tumazaliwa kwa waganga,tumefungwa sana hirizi na wazazi wetu tena kiunoni na mikononi,tumekunywa sana dawa za kienyeji,tukija hadharani hivi tunajifanya kuponda kilichotulea na kutukuza.sirini tunarudi kupanga foleni hukohuko.
 
Kwahiyo mganga ndiye tumaini lako ,Mganga ndiye aliyekufanya upate kazi mara ya kwanza Ole wake amtumainiae mwanadamu na kumfanya kinga yake. Huyo unaye mkimbilia haijui hata kesho yake.
 
yasemwayo yapo wadau kuna mambo ya kusafishwa nyota hayo yaani ukiwa intaviewd hata ujibu utumbo mwisho wa siku unalamba kazi.
braza keep doing what u seem is gonna make u a winna no mata what.
maisha yenyewe tu hayako fea.
 
Back
Top Bottom