mke wangu anasumbuliwa na lecturer

Vipi kuhusu uwezo wa mkeo class, upo vizuri?

hicho chuo hakina system ya ku-appeal? kama ipo aki-appeal matokeo huwa yanakuja hayo hayo au?

kwa vyuo vingi mwanafunzi akifanya mtihani huwa anasign attendance sheet (anasign in and out), so si rahisi lecturer kuficha matokeo kama mwanafunzi kasign kufanya exam.
mkeo anasoma chuo kipi hicho ambacho mwalimu anaweza kuamua kuficha matokeo ya supp?
 

ni kweli alisign attendance sheet lakini lecturer kakomaa ,mwisho wa siku ka give up baada ya kuona ishu inaweza kwenda mbali tukajua yameisha sasa semester hii kapewa somo lingine ishu imeanza kama kawa hata paper ya wife hataki kusahisha anaweka marks anavyopenda
 

Find a machine gun, load it and go fuc.k him up badly.....
 
lakin na shule ndo itakuwa hatarin. mungu amsaidie.
usiwe muoga kuna dada alikuwa na ishu kama hii akaenda kumface mkuu wa chuo direct , huyo lecturer kibarua kiliota nyasi baada ya evidence ya message kuonekana. asa unataka huyo lecturer aendelee ama
 
Ahahahah..mkuu umeongea kiume option no 2 nimeipenda dawa ni kumuwekea tego tu akiingia kwenye laini unabamiza mbaya.Nyambaf
 
dah, degree za vichupi hizo kumbe bado zipo!ila kusanyeni ushahidi wakutosha mkashtaki, hlo nikosa la jinai km uthibitisho upo lazima aisome!!
 
akisumbuliwa saaaaaaana mtoe chuoni afanye open anddistance learning... akishindwa na huko mfundishe mwenyewe
 

Mwanamume mwenye Akili huwezi ku entertain mashtaka ya KIJINGA eti mke anatongozwa....!!!

Muulize toka umemuoa Ndio Mara ya kwanza anatongozwa....?? Huyo kakuambia kwa Ajili hampendi au kujenga Imani .....Mbona anaowasikiliza hata Kama hajakubali ( Huwa wanawaweka pending )...hakuambiii..
 

Mhanga mwenzangu pole...pia na Mimi Nina kesi ya muundo huo pale IAA,Ila wa kwangu hajakamatwa somo,na mine kanionesha text zote na kweli jamaa bado linampigia simu namba ya lecturer inaishia ...47. Cha ajabu ni kuwa ticha kashaambiwa mara nyingi na mwanafunzi wake lakini hasikii, mitihani ya juzi kamrudisha kwenye mtihani...bado tunaangalia itakuwaje na nadhani uyu jamaa itabidi atafutiwe tibA ya kudumu...text na calls tumeziifadhi kwa matumizi ya baadae...NAWASHAURI TU WAALIMU,FUNDISHENI MASOMO LA SIVO TUTAONANA WABAYA....NASUBIRI UYU BINTI SAFELISHWE NDO TUTAELEZANA VIZURI....MITEGO YOTE IKO STANDBY. NARUDIA,POLE MHANGA MWENZANGU.
 

Weka majina ya huyo "Lecturer" hapa afanyiwe kazi mkuu.
 
asee nashukuru nimepata relief kusikia tupo wengi cha msingi na mimi sasa hivi ni kutafuta ushahidi wa kutosha na kisha kumfanyia kitu ,inapain sana kaka
 
Ukiwa mjanja Mkeo kusumbuliwa NI SIRI YA NDANI.
 

Unasubiri nini wakati una uhakika na kile kinachoendelea. Nenda polisi au kamata panga umzukie ofisini kwake ili ajue kwama upo siyo na unaweza.
 
omba Munu huo lecturer awe anachukiwa na wenzake other wise utamharibia zaidi mkeo wanajua kubebana na kuplaya as ateam kwani wengi ndio mchezo wao eithe kwa mabinti kujipeleka wenyewe au kuwashawishi
 
omba Munu huo lecturer awe anachukiwa na wenzake other wise utamharibia zaidi mkeo wanajua kubebana na kuplaya as ateam kwani wengi ndio mchezo wao eithe kwa mabinti kujipeleka wenyewe au kuwashawishi

duh sasa nifanyaje ndugu yangu
 
Nenda muone huyo mwalimu umuambie aachane Na mkeo akileta za kuleta nitafute tumpe dawa yake muonyeshe Na hii msg. Hao jamaa wengi wanaukimwi wanataka kuua watu. Bali angalia isije kuwa mkeo anajipeleka Kwa huyo mwalimu ni kawaida ya wanawake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…