iwe kumbe olyo'womuka?? mpola wamawe'!!!Kirahisi hivyo! He! Kwetu wana methali inasema "Akushabilila katafile tomanya nka akelekela" literal translation: Mtu anayetembea na mke/mme wako kama bado yuko hai huwezi jiaminisha ameacha! Msamehe, ameacha au jifanye hakuna jambo kama hilo? Anyway ni vizuri kuvumilia lakini inahitaji moyo! Ushauri wako ni mzuri anyway
Kumbe tulimu bangi omuiwe kumbe olyo'womuka?? mpola wamawe'!!!
Bakubulamu batai wakati eshule zikabandiza owaituKumbe tulimu bangi omu
Am not so far from what you had said, women need special attention katika kuuliza kile alichokikosea na ni wepesi Sana kujutia and so on.Pole ndugu, ila nliwahi shauriwa kuwa kama huna kifua kaa mbali na simu ya mwenza wako, mi nakuomba fanya yafuatayo, toka naye out siku moja jua wewe na yeye, ikiwezekana hata chukua weekend moja hotelini, wakati mnainjoi embu jaribu kupeleleza kama kuna kitu ana miss kwako, nini anatamani uongeze katika mapenzi yenu, kama vipo hivyo vitu then in a polite way jaribu kumuuliza kama ndo vinafanya anachat ujinga fb, kama havipo jaribu kumuuliza politely why anafanya anayoyafanya?
Ongea naye tatua in a polite way mpe another chance, niliwahi salitiwa na mpenzi wangu niliumwa hadi kulazwa, alikuja akitubu na msamaha analia hadi alizimia ila sikuwa tayari, baadae nilijiuliza hivi ningekuwa ni mimi nimefanya hilo kosa si ningetaka kusamehewa? I believe ingehappen kwako ungetaka na wewe kusamehewa na mwenzako akupe fursa ya kujieleza why ulianguka, kama yeye amechangia au lah, na upewe a chance to make things fresh.
Victor j (MC mtumishi)
Inspirational and motivational speaker/master of ceremony
Pole saaana mkuu,jaribu kutafuta chanzo,usisahau wewe na mkeo ndio wenye uwezo wa kujenga au kubomoa ndoa yenu;bado una nafasi ya kurejesha heshima ya ndoa yakoHalafu cha ajabu kajamaa ambako kanampa jeuri Facebook nimeview account yake ni kasanii ka muziki underground hakajatoka...yaani vivulana vya kipuuzi puuzi kabisa roho inaniuma kupita maelezo
Siungi mkono ushauri wako kaka. Huyo mwanamke si wa kumsamehe la sivyo yatamkuta ya sajenti kinyogoriPole ya kawaida hayo, ongea nae delete hiyo account Facebook, jipe muda maumivu yapungue msamehe maisha yaendelee.....
Poa kakaSiungi mkono ushauri wako kaka. Huyo mwanamke si wa kumsamehe la sivyo yatamkuta ya sajenti kinyogori
Pole kwa kupitia masumbuko makubwa ya kuumizwa na mwenzi wako!Habari za jumatano wanajamvi, bila shaka mmeamka salama kabisa.
Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo niliambiwa kabila la Mbulu sio la kuoa mie moyo ukawa umenasa hivyo na pete kanisani ikavaliwa. Nimebarikiwa mtoto mmoja wa kike.
Mwaka 2011 nilimfungulia account facebook mchumba kabla sijamuoa na nilikuwa namuamini sana.Tatizo Jana (Jumanne nikiwa kazini akaniambia account yake imesumbua halafu njia ndio mie hivyo nikiwa kazini nikalog in kwenye account yake (ikumbukwe tangu nimuunge sijawahi ingia kwenye inbox wala kugusa simu yake) baada ya kumrekebishia tatizo lake nikaona niingie inbox kwa mara ya kwanza.
Ukweli mie sinywi pombe lakini Jana nilijikuta naondoka kazini mapema na kwenda kuzimua kichwa. Nimekuta message nyingi anachat na vijana za ajabu ajabu mara mume wangu nitamuaga naenda kwa ndugu nitakuja kwako, mara mume wangu hayupo halafu nipo kitandani peke yangu baridi kali, Mara nimetoka kuoga ndio najifuta now, halafu anagawa namba yake ya simu kirahisi kwa kila anayemuomba namba. Yaani nusura nianguke ofisini maana mpaka wenzangu wamejua kuna tatizo ila sijafungua mdomo wangu.
Nimerudi nimemkuta ananichekea yani sijaongea kitu roho inaniuma vibaya, nahangaika kutoa jasho kwaajili ya kumpendezesha na mtoto wetu ila kaniona boya. Wakati naanza uhusiano nae nilikuta akiwa na elimu ya darasa la saba tu, nikamuendeleza QT na kumfundisha mpaka now ana diploma na October anaingia degree, sijui hata nifanye nini haki ya Mungu inanitesa sana.
Hiyo ni Tabia yake halisi na jamaa ana bahati kuijua, hata kama akimfutia Hiyo facebook hawezi kamwe kumfutia hiyo tabia,Pole ya kawaida hayo, ongea nae delete hiyo account Facebook, jipe muda maumivu yapungue msamehe maisha yaendelee.....
ww mjamaa!.... mkeo ni wa ujumaaAcha ubinafsi.
Blaza usipanic sana mkeo .....itakuwa anajifurahisha tu na hajawahi wala hana mp ango wa kufanya lolote baya.... just a chattingHalafu cha ajabu kajamaa ambako kanampa jeuri Facebook nimeview account yake ni kasanii ka muziki underground hakajatoka...yaani vivulana vya kipuuzi puuzi kabisa roho inaniuma kupita maelezo
Kumbe umeona kenge, tanapa walikupa kibali?
BADILI TABIA kuja umuone huyu jangili