Mke wangu ananitesa kwa hili

pole sana ila iyo ni hali ya kawaida mara nyingi uwa inatokea na pindi unapokuwepo ivyo ushauri ww usiweke sana iyo hali ktk mawazo yako fanya km unampuuza tu akikasilika usimuogope na wala usionyeshe km umejua kakasirika fanya yako ukimaliza unatoka kwenda ppt ili abaki pekee yake ukiludi km kawaida unamsalimia na kuendelea na v2 vingine ukiwa upo selius na ww unafanya km umekasilika yaani aupo sawa km umevulugwa yaan km una mda nae utaona yy ndio atanza kukusemesha akikuhuliza mwambie amna kitu kawaida utaona matunda yake muda c mrefu kila kitu kitakua wazi
 
Ana umri gani? Kama yuko kwenye 30's na kuendelea inawezekana ni menopause ndo inaanza....

Na huo ni mwanzo tuu....itafika kipindi mtamaliza hospitali zote na ugonjwa hauonekani.......!

Mkuu sina uhakika ni kuanzia 45....
 
Pole mkuu,jaribu kuongea nae akuambie nini tatizo kwa nini anakasirika,labda kasikia una small house aka kibanda aka kidumu lol
 
wifi yangu alivyoolewa alikua na tabia kama hiyo you know what we did ALIKUA AKINUNA TUNAPIGA STORY PALE LIKE HELL NI KUCHEKA TU,,ALIBADILIKA MAZEE ALIONA HAMNA MTU ANAMPA ATTENTION HATA KAKA YANGU AKARUDI AKAWA BINADAMU.

Dah...nyie ndo huwa mnarundikana kwa kaka huku mmekuja kumsimanga wifiyenu? Mshindweeee
 
Tabia ya hasira ni matokeo ya mambo mengi sana:

1. Kabila:
Kuna wanawake au wanaume wa makabila fulani(hakuna sababu kuyataja) huwa na tabia za visirani pasipo hata sababu yoyote ya msingi.
Hili ni ngumu kidogo kulibadilisha na kulikabili yakupasa kujiandaa kabla hata ya ndoa (kuyavulia maji nguo).

2. Ngono
Inaaminika kuwa kiu ya ngono kwa mwanamke kuna wakati humletea hasira na visirani visivyokoma.
Mwanamke anayekazwa vizuri sehemu zote zilizolegea huwa na furaha kwa mumewe, yaani anarelax.

3. Ushirikina
Ndio nimeandika ushirikina na wala sijakosea.
Ni vyema utambue kuwa kati ya watu wema kuna wabaya pia, wengine hawapendi watu wengine wakidumu ndoani hivyo hutumia nguvu za giza kuchibua mbegu kama hasira, magomvi n.k kwa wanandoa.
Mwisho wa siku ndoa uvunjika kirahisi rahisi tu.

4. Mabadiliko ya Vichocheo.
Mabadiliko ya vichocheo mwilini kwa kiasi fulani huleta pia mabadiliko ya kifizikia kwa mwanadamu, wanawake ni wahanga wakubwa wa hili.
Mathalani wanawake walio na ujauzito au wale walio nyakati oevu (MP) kwa kawaida huwa hawapendi ghasia, na hili hulidhihirisha kwa kuonesha hasira au hata chuki.

5. Upendo kupoa
Utajuaje kuwa sina mapenzi nawe tena kama awali na sitaki kukuambia, dawa ni kukuonesha kiburi na chuki za hapa na pale.
Hii hufanywa sana na wanawake na ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.
Hali hii hutokea pia mwanandoa anapokuwa amepata pa kupumzikia huko nje, na anaona huko kwampa furaha zaidi ya ile aipatayo ndani.
 

Umemaliza kila kitu!
 
Ukiweka mawazo yote kwa mke naye akajua unampenda sana atakupasua kichwa. Wanawake viumbe wa ajabu sana, mpende mke ila usimuaminishe kwamba bila yeye huwezi kuishi
 
Kwa tiba hiyo atamkuta amepasuka kabisaaa!!!
 

duh huu ushauri, nway tahadhari ni muhimu
 

Hio ya mwisho nini inasababisha kutokuwa na mapenzi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…