Mke wangu ananichanganya

Mke wangu ananichanganya

Chaz C hayo ni maelezo ya upande mmoja yapo maswali mengi sana ya kukuuliza na endapo uyapatia majibu basi angalau nitaweza kuchangia.

1.0 Umesema ndoa yenu ina miaka tisa, hongera sana. Je katika miaka tisa ambayo mkeo alikuwa hana kazi uliishi nae vipi?? Uliishi nae kibabe kwa sababu yeye hana kazi au ulimnyanyasa kwa bile yeye ni mama wa nyumbani???

2.0 Unalalamika mke wako hatoi pesa na amekuwa na kiburi. Ulitaka atoe pesa ya matumizi gani mfano??

3.0 Umeshawahi kumshirikisha katika programe ya maendeleo yoyote hapo nyumbani kwa kushirikishiana??? Mfano mke wangu nataka tuanze kufuga kuku lakini mimi nina laki tisa nataka na wewe uongezee laki tano toka kwenye mshahara wako ili tujenge banda na kuanza kufuga?? Hapa nakusudia mipango shirikishi.

4.0 Kiburi chake ni kwenye hela tu au mpaka mambo ya nyumbani yanayumba??

5.0 Kazi anayofanya ina kipato kikubwa kuliko yako?

6.0 Una uhakika kiburi cha mkeo ni kutokana na kazi peke yake au kuna makando kando??

Naomba nikomee hapo lakini kama ukifanikiwa kunijibu nadhani wanaJF wengine wanaweza kutiririka vizuri hasa upande wa ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Heh! Sasa ugumu wa maisha umeanza baada ya yeye kuanza kazi? Mwanaume hajitambulishi, anatambulishwa na majukumu.
Mpe salamu zangu, muambie akaze uzi!
sio fair bwana,mwanamke ni msaidizi wa mume. si amsaidie mume wake tu jamani.
 
hata yeye mshahara hautoshi kwa wiki
saluni ....laki moja
kuosha miguu....elfu 20
kubandika nyusi..elfu 30
kununua chupi mpya na bra ...elfu 40
mkorogo....elfu 60
lunch....laki moja hebu fanya mara 4...unataka kusema analipwa sh ngapi huyu mwanamke? hapo bado michango ya kitchen party laki moja na sare yake ya kitenge...safari ndo imeanza!
Ila mimi ushauri wangu ni kwamba kama ni mbinafsi hivi hela yake ni yake mpige chini, akakae mwenyewe ale hela yake mwenyewe maana ya mke ni msaidizi wa mume kama hawezi hiyo role ,akaendeleze ushamba wake kwao huko!
 
sio fair bwana,mwanamke ni msaidizi wa mume. si amsaidie mume wake tu jamani.

Hapana tusikimbilie kuwalaumu wanawake, maelezo yake ni so general kuweza kumtupia lawama mke wake.

Kwanza ameshindwa kuthibitisha fedha ya mke wake inakwenda wapi? Yaani ana save, hajui kabisa inatumiake au mke wake anakesha kununua mawax na magold n.k

Kuna kipindi wanaume tunawajengea chuki kubwa sana wanawake lakini kutokana na kukosa mbadala inabidi wavumilie na ikitokea hali imebadilika basi mambo kama haya huanza kujiibua kama visasi hasa kama familia haina misingi ya kumjua Mungu.

Ngoja jamaa afunguke zaidi tutajua mbivu na mbichi.
 
haijalishi anasave au anakesha kununulia mikorogo... jamaa kasema hatoi sio fair bwana.maisha ni haya haya
by the way mbona nikikupigia simu hupokei bwana? nitamwaga pm zako hadharani
 
ila kuna wanaume wana tabia akiona kaoa mwanamke mwenye kazi basi ndo hata hela ya msosi hatoi, anajua huwez waacha watoto njaa utanunua tu, huyo mama kuna sababu si bure
 
haijalishi anasave au anakesha kununulia mikorogo... jamaa kasema hatoi sio fair bwana.maisha ni haya haya
by the way mbona nikikupigia simu hupokei bwana? nitamwaga pm zako hadharani

Smile pls usimwage PM zangu hadharani maana kama namtetea huyu mke wa Chaz C ambaye nyie mmeshamhumu how about PM?? Namaananisha zitakuwa za kukubembeleza sana mpaka watu watashangaa ni huyu huyu MR???

Back to point, bado nayaona mapungufu katika mada hii kwa sababu moja, kabla ya mke wake kupata kazi ni mwanaume ndiye aliyekuwa anahudumia 100%, saizi mke kapata kazi, kama mke anatoa matumizi ina maana mume atabaki na ziada. Akae na mke wake amshawishi jinsi gani watavyotumia ziada yao wote kwa manufaa ya familia.

Hayo ndiyo maisha.
 
Last edited by a moderator:
Mimi hapo ndipo ninapowapenda Waarabu, mwanamke hakuna kufanya kazi, tofauti na kuniburudisha na kuzaa. Ona sasa mmekaa miaka mingi kwa amani lakini kupata kazi tu mbwembwe zinaanza, Achisha kazi na endelea kuchapa mimba, hakuna kutoka ndani hata kwenda dukani ,nyaambafu!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
kha!! wacha mpoteza mwenzio...hapo akimtia mimba sii ndio anajiongezea mjukumu na mdomo wakulisha....wee tulizana kamatia kimada pembeni nawe awe anakuliwaza

Hahahahahaha!Sasa hii yako ndiyo kali
 
mfumo dume upo kabla hata ya Kristo lakini kuna mifumo ambayo ni kandamizi kwa karne hii tuliofikia natambua ni muhimu kusaidiana majukumu ya kifamilia lakini mkewe kakataa hivo hawezi kumlazimisha au kutumia mabavu inahitajika busara tu.

Kuna mengine katika familia lazima nguvu itumike.Vinginevyo mambo hayaendi.
 
Dhaifu kwenye kupenda lakini ni wazuri na wenye imani sana kwa wenzi wao,ila uki wabadilikia ndio inakua mbaya..

aaah viumbe hawa dhaifu sana, angalia baada ya kupata ajira huyu tayari ameanza kumdharau mmewe
 
Chaz C hayo ni maelezo ya upande mmoja yapo maswali mengi sana ya kukuuliza na endapo uyapatia majibu basi angalau nitaweza kuchangia.

1.0 Umesema ndoa yenu ina miaka tisa, hongera sana. Je katika miaka tisa ambayo mkeo alikuwa hana kazi uliishi nae vipi?? Uliishi nae kibabe kwa sababu yeye hana kazi au ulimnyanyasa kwa bile yeye ni mama wa nyumbani???

2.0 Unalalamika mke wako hatoi pesa na amekuwa na kiburi. Ulitaka atoe pesa ya matumizi gani mfano??

3.0 Umeshawahi kumshirikisha katika programe ya maendeleo yoyote hapo nyumbani kwa kushirikishiana??? Mfano mke wangu nataka tuanze kufuga kuku lakini mimi nina laki tisa nataka na wewe uongezee laki tano toka kwenye mshahara wako ili tujenge banda na kuanza kufuga?? Hapa nakusudia mipango shirikishi.

4.0 Kiburi chake ni kwenye hela tu au mpaka mambo ya nyumbani yanayumba??

5.0 Kazi anayofanya ina kipato kikubwa kuliko yako?

6.0 Una uhakika kiburi cha mkeo ni kutokana na kazi peke yake au kuna makando kando??

Naomba nikomee hapo lakini kama ukifanikiwa kunijibu nadhani wanaJF wengine wanaweza kutiririka vizuri hasa upande wa ushauri.

umetoa point zote murua kabisa hadi nimekuzimikia ghafla (kikawaida tu, sio kwa angle ile ya :mwaaah🙂. Naona jamaa anamlaumu mkewe badala ya kushukuru kwamba amepunguziwa majukumu! Labda ulikuwa unampa hela mkeo kwa masimango kibao, sasa ameanza kupata zake anaona bora akamilishe mahitaji yake, ila kama hafanyi mambo ya msingi huyo hana busara. Tiririka, mkeo anafanyia nini hela zake? tuchangie mada kiundani zaidi
 
sometimes muwe mnapunguza malalamishi hata Biblia inasema mwanamke atazaa kwa uchungu,mwanaume atakula kwa jasho sasa we pambana kiume ihudumie familia siku akiamua kwa matakwa yake kusaidia its ok,hapa ndo tunapowatofautisha wanaume na wavulana vinginevyo unatafuta kuleta mitafaruku ktk ndoa.
sasa wewe, kama kazzi ya akina dada ni kuzaa kwa uchungu, huko makzini wanatafuta nini??!!.
kama umeona huyu bwana hakuwahi kulalamika wakati mkewe akiwa mama wa nyumbani,
sasa amepata kazi, badala ya kumsaidia kwamba mimi na mweznagu tu wamoja, yeye anasepa, anakuwa na kiburi ......
hili ni tatizo la wanawake, ndio walivyo, hata ungefantaje si rahisi kuwabadilisha. for women..it is a common behavior!
huyu mzee cha kufanya, aamue tu ajinyamzie la sivyo atachanganyikiwa. halafu akiona matumizi yanakuwa makubwa aji-adjust kulingana na kipato chake. asipofanya hivyo atajikuta ameanguakia kwenye option 2, ambayo si nzuri yaani kila mtu kivyake, sasa baada ya miaka 9 halafu muachane, watoto pengine una wanne-avumilie tu, hata angeimba nyimbo zote za kwao hatabadilika
 
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala hataki isaidie.nimemuelimisha kuhusu ugumu wa maisha lakini wapi, tatizo lolote likitokea ni mm ndo wa kusolve.. P/se help

binafsi mwanamke wa staili hii simfagilii period. huyu ni limbukeni wa maisha hana lolote wala asikuwazishe sana.

cha kufanya na wewe lie bati lisha wanao tena nenda sokoni mwenyewe lipa bills na ada na fuel yako binafsi. halafu unampotezea mazima kila siku unarudi umenunua suruali yako mpya ama shati atajibebajeeeeeee??

huyu anaish kwa stori zakitaa kumbe wenzie zile ni stari tu huko ndani wako tofauti.
 
  1. Jamaa ameomba msaada wa ushauri.. badala ya kupewa ushauri wa nini cha kufanya anaambiwa vituko vya wanawake.. Kitu ambacho sio fair..
  2. mmegeuza platform ya kuwananga watoto wa kike.. worst thing ni kwamba na members wa kike wanashindwa kuitetea jincia yao na mashambulizi dhidi yao.. Wengine ninaona kabisa wanaungana na wanaume wanaowananga.. Mfumo dume kazini..
  3. Ninaamini asilimia kubwa ya mnaowananga wanawake humu mmeoa wanawake wanaofanya kazi.. au mna wachumba wanaofanya kazi.. au galfriends wanaofanya kazi..
Nikienda kwenye tatizo la mtoa mada.. Maelezo yake hayajitoshelezi kwa sababu kuna mengi hajayaweka wazi.. La muhimu kabisa ni kipato cha kazi ya mke wake.. Maana unaweza kulalamika hapa kumbe kipato chake kwa mwezi ni kidogo sana..

Muhimu: Mpe muda aizoee hela yake ya mshahara..
 
Back
Top Bottom