Mke wangu ananichanganya

Mke wangu ananichanganya

Chaz C

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala hataki isaidie.nimemuelimisha kuhusu ugumu wa maisha lakini wapi, tatizo lolote likitokea ni mm ndo wa kusolve.. P/se help
 
Hapo ndo huwa nachoka na hawa viumbe.Halafu utakuta wanalalamika mfumo dume.Mchape mimba akae kwanza nyumbani iwe ndiyo mwisho wa kazi na heshima itarudi.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, ngoja nilale asubuhi tutaendelea
 
sometimes muwe mnapunguza malalamishi hata Biblia inasema mwanamke atazaa kwa uchungu,mwanaume atakula kwa jasho sasa we pambana kiume ihudumie familia siku akiamua kwa matakwa yake kusaidia its ok,hapa ndo tunapowatofautisha wanaume na wavulana vinginevyo unatafuta kuleta mitafaruku ktk ndoa.
 
Hebu angalia nilichomshauri hapo juu.
 
Hebu angalia nilichomshauri hapo juu.

mfumo dume upo kabla hata ya Kristo lakini kuna mifumo ambayo ni kandamizi kwa karne hii tuliofikia natambua ni muhimu kusaidiana majukumu ya kifamilia lakini mkewe kakataa hivo hawezi kumlazimisha au kutumia mabavu inahitajika busara tu.
 
Hapo ndo huwa nachoka na hawa viumbe.Halafu utakuta wanalalamika mfumo dume.Mchape mimba akae kwanza nyumbani iwe ndiyo mwisho wa kazi na heshima itarudi.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, ngoja nilale asubuhi tutaendelea

kha!! wacha mpoteza mwenzio...hapo akimtia mimba sii ndio anajiongezea mjukumu na mdomo wakulisha....wee tulizana kamatia kimada pembeni nawe awe anakuliwaza
 
we baba we ....

Wewe si ndo kicjwa cha familia?

Ulikuwa hujui kuwa umeoa mke mbinafsi?

Endelea kuhudumia familia mjache atumbue mpunga wake zlimbuke na mwaka....chezeya mshahara nini
 
Mkuu, hela ya kusaidia nyumbani hana ila ya saloon na mambo mengine yake ipo.
 
Kama kazi yenu ni kuzaa tu, kazi aliitafuta ya nini? acheni kuwa wabinafsi...kufanya kazi ofisini ni alternative ya kulima, kufuga n.k!!!
Mabinti wa kizazi cha leo sijui mko vipi, kwa AINA YA MAWAZO YAKO, MTAENDELEA KUNYANYASWA NA KUTOPEWA KIPAUMBELE NA WANAUME....
Tafuta maana ya maneno haya DUTIES and RESPONSIBILIES then come back again to argue with watu8.

Hayo uliyonukuu ni aina tu ya kujitete, maana BIBLIA ninayoifahamu imeyaandika hayo ikiwa inaelezea adhabu ambayo mwanadamu anapewa baada ya DHAMBI kuingia duniani, na wala sio majukumu ya awali ambayo MUNGU alimpa KE na ME...

sometimes muwe mnapunguza malalamishi hata Biblia inasema mwanamke atazaa kwa uchungu,mwanaume atakula kwa jasho sasa we pambana kiume ihudumie familia siku akiamua kwa matakwa yake kusaidia its ok,hapa ndo tunapowatofautisha wanaume na wavulana vinginevyo unatafuta kuleta mitafaruku ktk ndoa.
 
Wanawake siku zote ni viumbe wa ajabu sana
 
Piga moyo konde mkuu, huyo ni kwamba hajaizoea hela bado ambayo inapatikana kwa JASHO, endelea kuhudumia familia yako kama awali...Mwanamke mwenye akili anajua thamani ya kusaidiana na mumewe kwenye kila hatua ya maisha kifamilia.
Ndio maana familia nyingi za Kitanzania hutetereka pindi MUME anapochukuliwa na MAULANA maana ni wengi hata bajeti za kifamilia wanakuwa hawafahamu.
Wengi wanapenda tu kuweka KIPAGO vizuri ili JIWE la manati lipite, na humu ndani wamejaa kibao utawagundua tu kwa posts zao...bhaaasss!!!

Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala hataki isaidie.nimemuelimisha kuhusu ugumu wa maisha lakini wapi, tatizo lolote likitokea ni mm ndo wa kusolve.. P/se help
 
Maskini akipata ------ hulia mbwata
 
Wanawake ni watu wa home.. Sasa nyie mnawa-missuse sana kwa kuwaruhusu wafanye Kazi.. Ndio matatizo yake hayo.. Sasa Sijui ni kabila gani ukimpata msukuma anayefanya Kazi Lazima ndoa ipigwe chali, SIO sababu ya uhuni no Bali ubabe, majivuno, kiburi Na ubishi.. Wanawake Wa kisukuma waliosoma wachache sana wako Kwenye ndoa, Na stail Za Ndoa zao kuachana ni wanaume kukimbia miji..mwanamke wa kitusi akipata Kazi Basi hiyo Kazi Ndo inakuwa mume wake, all priorities zinalazwa Kwenye Kazi , mnyamwezi akipata Kazi lazima "alimbuke", huko
Kazini wanamkazi huko huko .., mwanamke wa kichaga piga ua hakaliki nyumbani hilo ujue mapema, Na ukitaka ndoa idumu degree yako ya wivu iwe zero, mpare Hana shida Yeye home anakaa Na kutulia kabisaa thamani yake umpatie gwaride kila saa tena la Maana ikivuja anagawa out tena Hana mshipi Wa ku feel guilty, Sijui niendelee ah nisije kwaza watu humu, mambo ya ajira Kwa wanawake yafanyike kabla ya ndoa.baada ya Ndoa Mwanamke anakuwa Na ajira mpya, kulea Na kutunza familia.
 
Heh! Sasa ugumu wa maisha umeanza baada ya yeye kuanza kazi? Mwanaume hajitambulishi, anatambulishwa na majukumu.
Mpe salamu zangu, muambie akaze uzi!
 
kuna haja ya kuangalia sana w/wake tunaooa, maisha ya sasa sio ya kumtegemea mume peke yake tatizo n kwamba mke wako anasumbuliwa na ubinafsi jambo ambalo n hatari sana kwa maisha ya sasa
 
Naanza kuamini kuwa mwanamke ni kiumbe aliye mwepesi wa kusahau alikotoka.
 
mpe nafasi aizoee hela. Live as if she doesnt exist, haitakuwazisha. Hawa ndio viumbe tuliopewa na Mungu. Usipokua mvumilivu, ujue Presha na Kisukari viko karibu.
 
Naanza kuamini kuwa mwanamke ni kiumbe aliye mwepesi wa kusahau alikotoka.
Apana ndugu sio wote na hata wanaume vile vile japo sio wote,lakini kwenye swala la kusahau mtu alikotoka ni hulka ya mtu....
 
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala hataki isaidie.nimemuelimisha kuhusu ugumu wa maisha lakini wapi, tatizo lolote likitokea ni mm ndo wa kusolve.. P/se help
Ndugu usilalamike sana yote maisha na inataka moyo mtu kukupa sio kama wewe uliweza kumpa yeye na wakao ujue na yeye atakusaidia kimaisha fikira hiyo ondoa,tena sio yeye tuu hata mwanao ulomzaa anaweza asikusaidie,chamsingi kazana kukomaa na maisha kama mwanzao na muombe mungu kwa sana.....
 
Back
Top Bottom