Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,719
- 31,037
Kuna ngosha alikwenda Rufiji Pwani.
Kule alikuwa anakula sembe, kunde, dagaa za baharini na mafuta ya mawese(chikichi). Akapata shida ya choo kama mkeo.
Akapimwa hakukutwa na tatizo lolote.
Akashauriwa ale dona, mafuta ya kupikia ya dukani, dagaa wa Mwanza na maharagwe. Akaanza kupata choo kama kawaida.