Mke wangu anakaa siku 5 hapati choo kikubwa

Vyote ulioshauriwa kuvifanya hapo juu usiwe na shauku ya kupata matokeo kwa haraka, tatizo huwa linaanza taratibu na pia kutoka kwake huchukua muda, kwa hio awe na subira kila kitu kiende kwa kiasi. Cha kuongezea kila akimaliza kula asilale papohapo, atumie muda kama nusu saa hivi kutembea. Kingine afanye mazoezi asikae sana na asitumie vyoo vya kukaa.
 
Nimeichukua bro nitalifanyia kazi
 
Wewe mshikaji mbona magonjwa yanakuandama wewe na familia yako hivyo ?
Au upo intern ya tiba za asili maana halipiti juma haujawa na ugonjwa mpya ,wewe na familia .
Fika hospitalini haraka ukajieleze
Hahaha
Karibu

ni kawaida tu kama vile nakula kila siku bas naweza kuumwa kila siku ni vile mungu ameamua na hosptal nafika vizuri tu ila bado mungu hajaleta kheri yake katika uponaji
 
Abadilishe ulaji mkuu, azingatie vyakula vyenye nyuzi nyuzi (fiber),probiotic na anywe maji mengi baasi!
Nina tatizo kama hilo,lakini ni pale tu napokula hovyo hovyo. Nikirudi kwenye balanced diet shida inayeyuka!
 
Hapati choo kivipi..
1.anajiskia haja lakini mzigo hautoki,
2. Hajisikii hata hiyo haja, ya kutaka kwenda toilet?
 
Back
Top Bottom