Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Nimekataa safari 2 za ughaibuni for family reasons mpaka kupelekea mausiano mabovu na kaka yangu aliye ughaibuni,think bigger Sent from my iPhone using JamiiForums
mi na wewe twafanana yan had natamani kukimbia nyumbani eti
 
mi na wewe twafanana yan had natamani kukimbia nyumbani eti

J.lee wengine Hapa jamvini wanafikiri kwa kurahisisha mambo ambayo ni complex wakati mwingine,unajua huwezi kuanika Hapa kila kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hi wadau,
mi ni mgeni hapa jf ila napenda kushare jambo linaloninyima usingizi.mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja hapa tz.safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua mda gani huko ughaibuni,maisha yetu hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.sasa inaniwia ugumu kumuachia aende. Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau

depressed hubby


sent from my iphone using jamiiforums

mwache aende akatengeneze maisha...na wewe ujipange ili siku akirudi atamani tena kuwa na wewe....ingawa aifahamiki ni lini haswa atarudi
 
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hivi uko serious na maisha yako?
Alikuambia huo mpango kabla hamjaoana kuwa ana mlezi na kwamba akimwita atakuacha !

Mke wa Mtu na Mlezi ughaibuni???????? Sijui labda uweke wazi kuwa huyo si mkeo na cha kushangaza eti anamwogopa Mungu !
Fanya uchunguzi !
 
haya hongera zao.. but there is a lot in their heads..!

Who don't have a lot in their heads?

most of them ukichunguza utakuta wana elimu ndogo... haiwezekani ujivunie kazi isiyokulipa..

Tatizo la wabongo wengi ndo hilo sasa! Wewe unaangalia monetary compensation tu wakati wenzio wanaangalia mambo mengi yakiwemo meaning, fulfillment, flexibility, value, sense of belonging, ability to touch and change people's lives, stress level and much more.

Lakini mbongo yeye anaangalia pesa tu. Unaweza hata ukawa unam-treat kama punda, madhali unamlipa mahela mengi basi wala hatakuwa na tatizo.

Watu wote hawako hivyo because it's not all about the money. It's much more than just that.

hata kama mazingira ya kazi yawe mazuri vipi, watu wanaangalia maslahi!

Maslahi ukimaanisha nini? Pesa tu, siyo? Kalaghabaho! Watu wote hatuangalii pesa tu. Tunaangalia opportunities for upward mobility, healthcare benefits, paid time off, expanding knowledge base, recognition, na mengineyo mengi.

So to me and many more in my circles it's not all about the money because money is not everything in life, to us, at least. But, maybe it is to you and your ilk.
 
Mkuu mpe ruksa tuu kama kusalitiwa unaweza salitiwa hata huku Bongo,,na uhakika anaweza kukumbuka maana umezaa nae mtoto ingekua huna mtoto nae hapo kwa kweli ungechora chini.
 
Hi wadau,
Mi ni mgeni Hapa JF ila napenda kushare Jambo linaloninyima usingizi.

Mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja Hapa Tz.

Safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua muda gani huko ughaibuni,Maisha yetu hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.

Sasa inaniwia ugumu kumuachia aende.

Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau.

Depressed hubby


Sent from my iPhone using JamiiForums

Pole sana mkuu yote maisha
 
Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali

tuna dharau afu bado ni masikini acha niendelee kubeba mabox mie
 
Ni ujinga kudhani kuwa ajira za sekta ya huduma ni ajira za aibu.

Mtu unaenda kwenye hizo sehemu, unahudumiwa vizuri kumbe deep down unawadharau hao wanaozifanya hizo kazi na ambao ndo wanakuhudumia wewe.

Hiyo ni akili kweli? SMFH!!!!

Haya hebu tazama hii pana mdada nimekutana nae uholanzi anafanya kazi ya kuosha vyombo katika mgahawa mmoja mjini Eden analipwa Uro 9 kwa li saa na sawa na 18,000 kwa tshs sasa fikir tu anaingiza pesa ngapi kwa masaa kumi kwa siku.....kama upo tz na umesoma na unafanya kazi ambayo kwa siku hupati hata 50,000....aasa waweza jiringanisha na huyo mhudumu ktk mgawaha....and u call it shame job!? What a shame thoughts!!??
 
Mwanaume gani unalalamika? Ukimkataza itakuwa mbaya?
 
Kama baba mkwe alimwambia mkeo akae na wewe mjadiliane naona alifanya jambo sahihi maana alitambua kuwa maisha ni yako na mkeo. Sasa we na mkeo ndo mlitakiwa kujua anafata nini huko, kwa muda gani. Kama haya majibu hayajapatikana usingeruhusu aende. Hakuna binadamu mwenye akili timamu anayenyanyua mguu kwenda asikokujua kufanya asichokijua.

Huyo mkeo kama alitelekezwa miaka 15 iliyopita sasa anamuamini nini huyo baba? (hata kama mtasema damu nzito kuliko maji).

Kitu kingine kinachonishangaza ni kwa nini mtoto akakae kwa bibi yake -tena mzaa mama (sibagui wabibi) ili mama aende peke yake? Huyo baba ana hamu ya kumuona mtoto wake tu hana hamu ya kumuona mjukuu? Sikujazii wadudu kichwani lakini mkeo anajua anachokifata. Sitaki pia kukutisha ila sidhani kama ana mpango na hiyo ndoa/wewe. Mi natanguliza pole zangu kwa upweke utakaokugubika mama akienda majuu na mtoto kwa bibi. Upweke basi ufarijiwe na imani. Imani hapa inatoka wapi wakati safari imejaa utata. Mi sijakuelewa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom