Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Who don't have a lot in their heads?



Tatizo la wabongo wengi ndo hilo sasa! Wewe unaangalia monetary compensation tu wakati wenzio wanaangalia mambo mengi yakiwemo meaning, fulfillment, flexibility, value, sense of belonging, ability to touch and change people's lives, stress level and much more.

Lakini mbongo yeye anaangalia pesa tu. Unaweza hata ukawa unam-treat kama punda, madhali unamlipa mahela mengi basi wala hatakuwa na tatizo.

Watu wote hawako hivyo because it's not all about the money. It's much more than just that.



Maslahi ukimaanisha nini? Pesa tu, siyo? Kalaghabaho! Watu wote hatuangalii pesa tu. Tunaangalia opportunities for upward mobility, healthcare benefits, paid time off, expanding knowledge base, recognition, na mengineyo mengi.

So to me and many more in my circles it's not all about the money because money is not everything in life, to us, at least. But, maybe it is to you and your ilk.

Very good observation
 
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hebu kuwa mwanaume kidogo aisee, yani unanipa hasira sana! Uko soft mno!
Anyway, ni almost mwaka sasa hebu tupe mrejesho wa huyo shemeji!
 
Kama hujaoa huyo, umeumia mitandao yote hii ya kijamii watu wanaenda chukua mazima, wewe shukuru mtoto unae

kwa nini umekaa na mtoto wa watu bila kuoa, sasa utalijua jiji
 
Back
Top Bottom