Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Mke wangu anaenda Ughaibuni for good

Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali

Unajua sisi wakati mwingine huwa nadhani akili zetu haziko sawa kabisa.

Na sijui nani tu aliyetuaminisha kuwa baadhi ya kazi ni kazi za hovyo!

Mtu anajihangaikia kujitafutia rizq yake halali huku akikuhudumia wewe halafu wewe huyo huyo eti unamdharau kwa kazi anayoifanya. Kama vipi si ujifanyie mwenyewe yote hayo unayoenda kwa wengine kufanyiwa....

Wakati mwingine huwa tuna upumbavu wa kijinga sana (as if kuna upumbavu wa akili).
 
Kama ni mke, muache atangulie ili baadaye nawe umfuate. Mbona ingekuwa ni wewe si ungemwambia unaenda tafuta maisha?

Dont be too negative, watu huachana everyday na haiihitaji kwenda ulaya ndio waachane. Na kuna watu hata gereza haliwaachanishi.

Yaani sioni haja ya kuendelea kuandika kwani umeandika.mawazo yangu..
 
huyo SIO MKE WAKO ila umezaa nae tu.
angekuwa mkeo usingekuwa unaongea haya sasa
tafakari!!

Vifungu vya sheria ya ndoa vinaainisha ndoa aina 3,ya kidini,kimila na kiserikali,nimeoa ndoa ya serikali na kuishi nae yapata miaka 6 sasa na huduma zote nimekuwa nikitoa mpaka ukweni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni mke, muache atangulie ili baadaye nawe umfuate. Mbona ingekuwa ni wewe si ungemwambia unaenda tafuta maisha?

Dont be too negative, watu huachana everyday na haiihitaji kwenda ulaya ndio waachane. Na kuna watu hata gereza haliwaachanishi.

Ninampenda sana ila na wasiwasi bado,wacha tuone

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ninamaanisha kazi ambazo haziwezi kuwa monitored watu wakalipa kodi kuongezea taifa kipato na manyanyaso mengi mfano house girl, shamba boy nk

Cool mkuu, kwa kweli kuwa cleaner/ disability worker, aged carer/nauza kfc ni basi tu ni kazi ambazo ni low grade na ndio huwa at least ziko available. No one aspires to do them just because its hard to secure white color jobs, tunaishia kujifariji 'kazi ni kazi tu' lakini waaapi bana ni vile plan B inakuwa haipo.

Sent from nokia Jeneza
 
Kama ni mkeo utasemaje hujui anaenda kufanya nn?je doc au invitation letter inayomruhusu kuomba viza inasemaje?

Doc na info zingine ni concealed kwa sasa coz anaweza kuwa hata jirani yako ila ntatoa mwongozo badae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali

Ni ulimbukeni wa waafrika ndo maana unakuta mainjinia wamejaa bungeni halafu wanalazimisha waitwe Injinia Stella Manyanya, Injinia Gerson Rwenge wakati wakiambiwa wachore michoro ya kiinjia iwapo ni wahandisi labda kutatua msongamano wa magari Dar na miji mikubwa Tanzania hawawezi lakini wakisimama kutoa hoja lazima waseme mie kama injia naona jiji la Dar limeshindwa kuhimili magari lakini kutoauumbuzi hawezi anbakia kubwabwaja nchi za Ulaya mainjinia mud mwingiwako site kusimamia kazi sio kuvaa suti na kushinda ofisini
 
Cool mkuu, kwa kweli kuwa cleaner/ disability worker, aged carer/nauza kfc ni basi tu ni kazi ambazo ni low grade na ndio huwa at least ziko available. No one aspires to do them just because its hard to secure white color jobs, tunaishia kujifariji 'kazi ni kazi tu' lakini waaapi bana ni vile plan B inakuwa haipo.

Sent from nokia Jeneza

Wapo watu wengi tu wanaojivunia kuzifanya hizo kazi.
 
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ha ha ha yaani mkeo anaitwa ughaibuni alafu mwenye mke huambiwi anaenda kufanya nini????? You are too weak if its all like that.

Ila nadhani moja ya masharti ya visa ni kutaja unategemea kurudi lini ambayo itathibitishwa na itenary ticket,jaribu kufuatilia hilo.ila kama una wasiwasi sana na picha ndo hilo tena nenda kaweke pingamizi ubalozini anyimwe visa,nahisi wanaweza kukifikiria.
 
Unajua sisi wakati mwingine huwa nadhani akili zetu haziko sawa kabisa.

Na sijui nani tu aliyetuaminisha kuwa baadhi ya kazi ni kazi za hovyo!

Mtu anajihangaikia kujitafutia rizq yake halali huku akikuhudumia wewe halafu wewe huyo huyo eti unamdharau kwa kazi anayoifanya. Kama vipi si ujifanyie mwenyewe yote hayo unayoenda kwa wengine kufanyiwa....

Wakati mwingine huwa tuna upumbavu wa kijinga sana (as if kuna upumbavu wa akili).
Unajua wanadharau mno wabongo . Kama wote tukiwa mawaziri nani atalima au wote wakiwa madaktari nani atakua nesi , nani atasaidia kina mama wakati wanajifungua. Huwa nawashangaa mno wabongo kujifanya kwamba hapa home wote ni maofisa. Tubadilike tuheshimu kazi zote.
 
usiwe na wasiwasi..be positive
anatangulia huko nawe utamfuata mambo yakienda vizuri
 
Tafuta movie inaitwa "Indecent Proposal (1993)" angalia na fuatilia vizuri hiyo movie halafu utapata jibu ufanye nini...
 
Ha ha ha yaani mkeo anaitwa ughaibuni alafu mwenye mke huambiwi anaenda kufanya nini????? You are too weak if its all like that.

Ila nadhani moja ya masharti ya visa ni kutaja unategemea kurudi lini ambayo itathibitishwa na itenary ticket,jaribu kufuatilia hilo.ila kama una wasiwasi sana na picha ndo hilo tena nenda kaweke pingamizi ubalozini anyimwe visa,nahisi wanaweza kukifikiria.

Mlezi wake wa huko alikwisha muabandon mda mrefu sasa ndiyo maana hata wakati wa ndoa yetu hakuchangia kwa lolote kabisa,siyo kwamba I am weak ni jinsi Ishu yenyewe iko a bit complex,kutokana na life situation Hapa nyumbani-Hali si Nzuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cool mkuu, kwa kweli kuwa cleaner/ disability worker, aged carer/nauza kfc ni basi tu ni kazi ambazo ni low grade na ndio huwa at least ziko available. No one aspires to do them just because its hard to secure white color jobs, tunaishia kujifariji 'kazi ni kazi tu' lakini waaapi bana ni vile plan B inakuwa haipo.

Sent from nokia Jeneza

Mkuu kuna "division of labor and specialization" hizo kazi ulizotaja kuna watu wake huzifanya kutokana na level ya elimu, utashi wa mtu, background nk kwenye background mfano tuchukue mtu kamaliza MBA upande wa marketing katika vyuo vya Tanzania akaja Marekani unadhania kampuni gani litamuajiri kama marketing manager na lafudhi yake ile? Wamarekani hawatamuelewa kabisa maana kimombo chake hakina mashiko kwa wamarekani hapo ndipo background ya mtu inapokuja, pia sio kila mmoja atakuwa afisa ni sawa na jeshini sio kila mwanajeshi atakuwa jenerali
 
Unajua wanadharau mno wabongo . Kama wote tukiwa mawaziri nani atalima au wote wakiwa madaktari nani atakua nesi , nani atasaidia kina mama wakati wanajifungua. Huwa nawashangaa mno wabongo kujifanya kwamba hapa home wote ni maofisa. Tubadilike tuheshimu kazi zote.

Uko sawa hawa wasomi wa tz wanakera.
 
Mzee Mwanakijiji umekamata kwenyewe.Nadhani Mh.km amerudi ktk hii safu basi hii aiwekee note,ni extract muhimu.Serikali hadi leo bado wapo wanjisuasua kwa copywrites za wasanii tuu hawajui hata ktk patent kunaweza watoa wabongo kibao,kwani mtu km analowazo jipya na zuri akilewekewa patent analiuza au kukopea nalo na kuweza fanya kazi kwa kipindi fulani ambacho atakuwa amerudisha gharama zake na ndio sasa fungulia mbwa ianze ili kuleta upinzani.
Lakini leo hii hata jamaa wa chai maharage enzi zile,au chakula cha waathirika Arusha,Au mchoraji wa leo anaweza fikisha proposal yake bank leo ya kuomba mkopo kwa ajili ya wazo lake kesho akakuta hilo wazo limeshafanyiwa kazi na tajiri moja nguvu za kutisha.
Mzee mwanakijiji hii itapiga bao si utalii peke yake bali kila sector.Patakuwepo mfumuko wa mawazo na ubunifu wa kila nyanja ambao utaleta mafanikio makubwa.Mtaji wa kila raia utakuwa akili yake,na mafanikio ya makampuni yatakuwa mitaji yao.

Umeshasema maisha yenu hapa Bongo sio mazuri. Basi mwache akatafute fursa kwengine. Akifanikiwa atakuvuta na wewe mkuu.
 
Unajua wanadharau mno wabongo . Kama wote tukiwa mawaziri nani atalima au wote wakiwa madaktari nani atakua nesi , nani atasaidia kina mama wakati wanajifungua. Huwa nawashangaa mno wabongo kujifanya kwamba hapa home wote ni maofisa. Tubadilike tuheshimu kazi zote.

Ni ujinga na ulimbukeni ndo maana Tanzania kila mmoja analazimisha kuwa na degree bila kuangalia anaitaka ya nini kwetu sisi Tanzania msomi ni kuwa na degree rubbish kwelikweli matokeo yake tuna quantity na sio quality nchi za watu mfano Marekani na Canada sio lazima wenye elimu kubwa awe na mshahara mkubwa inategemea pia umesoma nini si lazima mwenye degree awe na mshahara mkubwa kuliko mwenye diploma. Nchi hizo mfano Nurse mwenye degree moja mshahara wake ni sawa na mtu wa MBA na pengine kumzidi wa MBA ambaye kasoma miaka 6 wakati nurse kasoma miaka mine maana yeye kakomea degree moja. Hawa jamaa wafanya vile kwa kujua umuhimu pia wa kada na pia si lazima kila mtu asome sana miaka mingi chuoni ili awe na maisha bora maana kuna vichwa vingine sio vya shule ila ni vizuri kwa kazi. Na kazi ya unesi ni kujituma maana unakutana na damu, majimaji ya mwili, vidonda, kujifungua akina mama na mambo mengine ya kutisha ambayo yanahitaji moyo na si shule
 
If i were you.. For a good reason, hiyo safari ningeiblock for a good reason....

How comes wife aende sehem bila kujua afuatacho wala kurudi ni lini? Itaniuma....

Unajua hata kwetu ni nje ya nchi ukiwa nchi za watu...

She better stay home for good.
 
Back
Top Bottom