acha matata
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 165
- 39
Toka na huyo rafiki yake, mkeo niunganishe naye kwamwezi. Akirudi, utampenda na atakuwa ameelewa na mwaka kesho atafaulu paper. Ila watoto ubaki nao
Yani watu tunakesha posta kumbe nafasi zinawenyewe
Pole sana mkuu, ila ki ukweli mkeo ni "kiazi kilicho oza huko kichwani", vumilia tu mkuu ndio madhara ya uzuri wa sura na umbo. kama unaweza mpeleke kwa wamasai wakamfundishe namna ya kusuka hata nywele za kimasai tu.
![]()
watu walituma maombi ya kazi kumbe mlishagawana nafasi mapema??
imenichekesha San kumbe ulikuwamo katika wale 100 mia
Yaan nilikupo acha kabisa hizi interview na ..na kujaza kote sick sheet na kuhudhuria booked interview
ha ha a amwambie akuvulie chupi apate ajira