Mke wangu amenipiga kwenye makende

Mke wangu amenipiga kwenye makende

agonalile

Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
50
Reaction score
228
Habari.

Mimi ni mzee na mgeni humu JamiiForums, mtoto wangu amenifungulia akaunti. Nina humli wa miaka 79 na nina nguvu za kunitosha.

Nina mke wangu ana miaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano huu....

Ninatatizo la busha awu mshipa. Jana usiku wakati mke wangu ananinyowa nywele sehemu za siri akawa akazipiga kama kite nesi kende zangu hali iliyopelekeha maumivu. Tulikuwa na ugomvi kidogo.

Na huyu ni mkee wapili ni mke mdogo.
Ananisumbua sana na nimshari mno hasa wakati wausiku nikiwomba chakula cha usiku.

Nimenuniwa ni siku ya nne leo.
Wakubwa wezangu nishaurini kwenye hili
 
Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.
Nina muke wagu ana miyaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano uu....
Ninatatizo la busha awu mushipa.jana usku wakati mke wangu ananinyowa nywere semu za sili akawa akazipiga kama kite nesi bumbu zangu ari iliyopelekeha mawumivu. Tulikuwa naugomvi kidogo.

Nauyu ni mkee wapiri ni mke mudogo.
Ananisumbuwa sana na nimushali mno asa wakati wausiku nikiwomba chakura chausiku.

Nimenuniwa nisiku ya ine reo.
Wakubwa wezangu nishaulini kwenye iri
Unajifanisha kana kwamba hujui kuandika vizuri hayo maneno ya kiswahili
 
Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.
Nina muke wagu ana miyaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano uu....
Ninatatizo la busha awu mushipa.jana usku wakati mke wangu ananinyowa nywere semu za sili akawa akazipiga kama kite nesi bumbu zangu ari iliyopelekeha mawumivu. Tulikuwa naugomvi kidogo.

Nauyu ni mkee wapiri ni mke mudogo.
Ananisumbuwa sana na nimushali mno asa wakati wausiku nikiwomba chakura chausiku.

Nimenuniwa nisiku ya ine reo.
Wakubwa wezangu nishaulini kwenye iri
Ila kuna watu wanazo akili za pekee yawoo 1
 
Back
Top Bottom