Je alipoanza klinik, kwa sasa nilazima kwenda na mumeo. Aliwah kukuambia??
Je Suala la kutoshiriki ngono kuanzia huo mwezi wa 4 /2020..nani aliianzisha???.
Kama amegundilika miezi sita ilopita
Inamaana mtoto alikua na miezi nane... Ikiwa amepata mamabukizi baada ya kujifungua..maana yake alichepuka mtoto akiwa na mwezi kati ya mmoja mpaka sita ili sasa kwa vipimo vyetu, mamabukizi yagundulike kipind ambacho mtoto anamiezi nane..
Yaan Miezi 6 nyuma, mtoto anamiez 8.. Tutoe miezi 2 ya window period..
8-2 =6 ...inamaana alichepuka mtoto akiwa na miezi kati ya 5-6
Je nikwamba Mkeo alikua MALAYA SANA, hata haogopi kubemenda mtoto??
JIBU ni HAPANA.
Aliyapata wapi ?? Sijui
Aliyapata Lini sijui.
Aligundulika lini???... Ungepata kadi yake ya mauzulio ya kliniki za CTC ungejua lini alianza dawa.
Lkn uhakika 100% aligundulika wakati wa Kliniki.
Ukisema baada ya kujifungua...kuna maswali mengi...
Kama wakat wa ujauzito ambapo wanapimwa kwa LAZIMA , alikua sawa....je baada ya kujifungua ndio alienda kupima kwa hiyari??? Aliumwa??? Alivyochupka ndo akaone akapime au nn???..
HOJA YA KUUPATA WAKATI WA BAADA YA KUJIFUNGUA....NAIKATAA
NI AMA ALIKUA NAO TOKA MUDA ILA HAKUJIJUA, KAJA KUJUA ALIPOENDA KUANZA KLINIL, MIMBA IKIWA NAHIYO MIEZI KADHAA...NDIO MAANA AKAJA NA WAZO LA KUTOSHIRIKI NAWEWE NGONO
SHUKURU MUNGU SANA.
KWA SASA UNA MACHAGUO MAWILI

KUMUACHA..sababu ya Kukuchit/ kukuficha ukweli kwa muda mrefu ila ukaendelea kua Supportive kwake na kwa mtoto.

KUENDELEA NAYE KUISHI ...Kwasababu angetaka kukuambukiza angefanya ivooo yaan angekuambia tuu" baby anza kunitombaaa banaa".
NENDENI KITUO CHA AFYA, MKAPEWE ELIMU YA JINSI YA KUISHI NAKUZAA WATOTO SALAMA ,NAWEWE UKIBAKIA KUA SALAMA.
!