Mke wangu amekutwa HIV+

Ww uko sawa kabisa. NI HIV NEGATIVE. ACHANA KABISA NA HUYO MWANAMKE. ATAKUCHOMA HATA SINDANO YENYE VIRUSI ILI NA WW UATHIRIKE. NI MUUAJI HUYO. Inawezekana kabisa kwa mwanaume kutoambukizwa vizuri na mwanamke wake aliyeathirika kwa sababu kadhaa hivi. Moja ni ugumu wa mwanaume kupata HIV ukilinganisha na mwanamke sababu ya maumbile. Pili ni U=U kama amekuwa anatumia hizo dawa. LAKINI KAA KABISA MBALI NA HUYO AISEE. ACHANA NAYE KABISA NI MWONGO WA HATARI KABISA. ALIPEWA VVU NA MTU NA HATAKI KUKIRI HILO. AMEKUWA ANAKUDANGANYA SIKU NYINGI SANA AKIKUFICHA UKWELI.. ETI LEO ANASEMA UONGO MWINGINE KWAMBA HAJACHEPUKA NA WW UNAMWAMINI????
 
Kuna dadaangu,hadi tarehe ya harusi ilipangwa,baada ya wiki moja ya ndoa,mama wa bidada akasema hapa mkapime kwanza yaani alikuwa amuamini mkaka...........oooooh kwenda kupima,bidada kakutwa nao mkaka yupo safi......asee mdada alilia balaa,akamwambia mkaka tufunge ndoa tu nikakae ata wiki moja nitudi ngumban[emoji3]mkaka alijaza no ndoa,japo alitoa kila kitu alisamehe.
 
Na huyo mwanamke kwa kumsaidia, mwambie wabadilishe madawa. Hayo madawa yanaharibu Liver (maini) yake. Yanamuongezea bilirubin mwilini ambayo inaharibu zaidi maini. Na ndio maana ni wa njano hivyo kwa ngozi. Baadhi ya Hizo dawa za ARVs yani zina side effects mbaya sana sana acha tu. Atapata liver failure mwisho wa siku. Wamtafutie madawa mengine mbadala.
 
halafu haya mambo heri kuwa na mazoea ya kufanya vipimo,maana unaweza kuwaza ulipokosea hupaoni mara gafla umeathirika
 
Wadada Tanzania wengi sana wameathirika siku hizi. Mimi na vipimo vyangu binafsi nimevinunua India na Nimeshakuta waDada kadhaa wako Positive, na wao hata walikuwa hawajijui. Ila niliwataftia msaada sikuwatupa tu. HIV ipo sana, na watu wanacheza cheza tu.
 
Huo ukimwi hata nashindwa kumuelewa jamaa angu alikuanaendelea na kabint ambacho kalizaliwa na hiv na jamaa alikuwa ameoa uwez amini hata ajamuambukiza mke na yey mwenyewe Hana na hapendi kutumia kondom ajabu Sana [emoji38] anasema jitaidi kusitokee michubuko tu Ila ukimw kuukwaa Ni vigumu sana
 
Yap ni kweli,asilimia kubwa ya wadada wameathirika,yaani ni vibinti vidogo ata 30yrs havijafika.


Sijui ni kwanini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…