Kuna uwezekana yupo bado Negative- Uenda wakati anapima matokeo yake yakaja kama false POSITIVe .Umesema kuwa ulimpima tena ukamkuta ana hapa 1. Vira load ipo chini sana Kwa Hiv antbodies kuwa detected. 2. Ana na ajawai kuwa na HIV infections ila wakati anapima matokea yakaja false POSITIVE..Itabidi uende hospital kubwa zenye mitambo ambayo inaona Virus wenyewe na sio hivi vidude vinavyodetect just antibodies za HIVPamoja na ubize wangu wote,,kitu cha kwanza kuangalia ilikuwa ni card yake ya kliniki baada ya kuwa mjamzito na wala haina shida
miezi 8 baada ya kujifungua inamana ndani miezi 7 au chini ya hapo si kweli ! cheki card ya clinicKwa maelezo yake Amegundu miezi sita iliyopita ( Yaani mwezi wa Nne huko). Miezi nane baada ya kujifungua?!
Nimesoma, kuna uwezekano huyu dada watu wanamnanga na kumtusi lakini ukute ugonjwa alionao si HIV, halafu hizi rapid hata wanawake wenye ujauzito ni common sana kutokea false ve+...Avoiding false positives: rapid HIV tests vary in their accuracy, so need to be used in combination
An evaluation of eight rapid diagnostic tests widely used in a variety of African countries by Médecins Sans Frontières (MSF) shows that the tests vary in their performance, with false positive results being a concern. Samples from some geographical locations were more likely to have false...www.aidsmap.com
Kabisa mkuu.Je Mtoto ana status gani? hapa aende hospital zenye system za kuona virus wenyewe na sio hizi zenye angalia ant bodiesNimesoma, kuna uwezekano huyu dada watu wanamnanga na kumtusi lakini ukute ugonjwa alionao si HIV, halafu hizi rapid hata wanawake wenye ujauzito ni common sana kutokea ve+...
mi naona aende mbele zaidi katika vipimo na pia akae aongee na mkewe kiutu uzima, sababu cha kuangalia sasa ni namna ya kutatua shida na si kulaumiana cause hakuna faida zaidi ya hasara na kumletea mtoto mazingira magumu...
Hapo una maana waende kwenye vipimo kama ELISAKuna uwezekana yupo bado Negative- Uenda wakati anapima matokeo yake yakaja kama false POSITIVe .Umesema kuwa ulimpima tena ukamkuta ana hapa 1. Vira load ipo chini sana Kwa Hiv antbodies kuwa detected. 2. Ana na ajawai kuwa na HIV infections ila wakati anapima matokea yakaja false POSITIVE..Itabidi uende hospital kubwa zenye mitambo ambayo inaona Virus wenyewe na sio hivi vidude vinavyodetect just antibodies za HIV
View attachment 1964562
Duh mbona inashtua hii!!Kuna rafiki yangu alikuwa anamchumbia binti ikafika mda wa harusi ,Kama kawaida kuna baadhi ya makanisa huwezi kufunga bila vipimo,jamaa akaonekana ameathirika,akaachwa na mwanamke hapo hapo ,jamaa kidogo afe kwa mawazo ,baada ya Kama miezi 6 akapima tena ikaonekana hajaathirika ,akafululiza kupima kila baada ya miezi 3 jamaa bado anaonekana si mwathirika .
Cha kushangaza baada ya Kama miezi 6 msichana akaolewa na jamaa mwingine ,hiyo kidogo ilitushtua kwamba imekwaje gafla hivo ,inawezekana maruweruwe au daktari katoa vipimo fekiDuh mbona inashtua hii!!
Isije ikawa maluwe luwe ama dokta alitoa majibu feki??????
Mmmmh,unazidi kumchanganyaPima vizuri mkuu. Usijiridhishe na hayo majibu. Lazima unao tu.
[emoji1787][emoji1787]ah kaka haya mambo yasikie tu kwa mwenzako, wanawake wanaumiza sana vichwa vyetu kwakweli, kuna msela yuko huku ana kila kitu kwa hela ya huku nje anayofanyia kazi anapokea karibia M1na zaidi ya laki 6 kwa wiki kwamakisio ukimwambia utaoa lini mkuu anaogopa hata kuongea maswala ya ndoa nafkiri kashaathirika kisaikologia kwa matukio ya watu kutafuniwa, jamaa umri unaenda [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]huyu naye ana same issue??