miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kosa halifutwi kwa kosa.......Sielewi hiyo sumu kanywa kwa sababu ipi zaidi,talaka au fumaniz.Uguza mkeo,akipona mrudishe nyumban.
Hii story ya kutunga inaendelea??
We kweli Mwana Mtoka Pabaya , hahahaha nilikuwa nawaza hivyo hivyo....amuongezee sumu kabisa ili ikolee vizuri mwilini azma yake itimie.
Hahaa, "Mwana mtoka Pabaya" huna hata ofa jamani:behindsofa:
Mpe jamaa ofa ya sumu ya Chawa!
Kosa halifutwi kwa kosa.......Sielewi hiyo sumu kanywa kwa sababu ipi zaidi,talaka au fumaniz.Uguza mkeo,akipona mrudishe nyumban.
kHabari wana jf,
Sina budi kumshukuru alie juu kwa kuendelea kunipa pumzi ambayo mpaka napata hata muda wa kuweza kuwatafuta wana familia ya jf, ili kupata mawazo yenye hekima japo wapo wachache wenye akili kama kina Mwigulu ya kuwaza kutengeza story za kusadikika kisha kuwafanya watu wapoteze muda wao mwingi kwa jambo ambalo halipo.
Ni wiki sasa toka nimeleta uzi wangu hap jamvini kuomba ushauri juu ya kisasi cha mke wangu niliemkamata aki du na shamba boy wetu, mlinipa mawazo mengi sana juu ya nini nfanye baada ya kitendo hicho kichafu cha mke wangu japo yeye alidai kua alikua analipa kisasi cha mimi kua na mwanamke nje ya ndoa yetu takatifu na aligundua hilo baada ya mimi kukosea msg ambayo nilikua naituma kwenda kwa nyumba ndogo badala yake nikaituma kwa my wife, mlinipa mawazo mengi juu ya nini nifanye lakini mwisho wa siku niliona hakuna maana ya kuendelea na ndoa ambayo dhahili niliona imeshaingia dosali kubwa.
Niliamua kumwambia mke wangu kua sina shida tena ya kuendelea kua nayeye mke wangu alinibembeleza sana ili nibadili msimamo wangu lakini haikua rahisi kwakua tayari nilikua nimeamua hivo, basi ikabidi nimpeleke kwao, niliporudi nyumbani kwangu nikapata taarifa kutoka kwa mamakwe kua mke wangu kanywa sum baada ya kuona hakuna sababu ya yeye kuendelea kuishi duniani bila mimi.
Hatua za awali walizo chukua baada ya tukio hilo nikumkimbiza hospitali na mpaka sasa yupo hosipitali hali yake sio nzuri nifanye nini nawakilisha nisaidieni mawazo wana jamii.
k
Kaka acha unafiki, hivi huyo aliyekunywa sumu ni mkeo? Maana kwenye maelezo tu umesema humtaki tena kila mtu aendelee na maisha yake. Uke uko wapi? Nenda kwa nyumba ndogo yako iliyowafanya muachane halafu basiiiiiiiiiiiiiiiii
Nipo kibiashara zaidi mkuu. Last months watu walikuwa wanamkimbiza mwizi, mi nikampakia kwenye bodaboda yangu nikaenda kumshusha kilomita 6 mbele nikalamba buku 7 yangu saaaafi!
huyo mwanmke ungemwacha akadedi. Aneshaleta mkosi ndani ya ndoa, yaani hasafishiki. Hata kama mwanaume ana mahusiano ya nje, kosa haliishi kwa kutenda kosa. Achana naye yaani kakudhalilisha ile mbaya.
Spear for pigMtenda akitendwa huona kaonewa,mijanaume ya leo inapenda k kuzidi msosi