Kama nyie ni Wakristo tafuta laki na nusu na kama ni waislam tafuta elfu 35 halafu mPM
Mwana Mtoka Pabaya. Utahitaji aidha
JENEZA au
MKEKA na sio ushauri.
Huyo hawara yako hajanywa sumu sababu ya kuachwa na wewe, kanywa sumu sababu umemharibia dili lake la kugegedwa na cattle boy wenu.
Hili ukilipa 180,000 nadeliver popote hapa dar.
Hii culture, haipo kwenye stock lakini ukitoa oda nadeliver kwa siku 3. Bei yake 390,000
Hili nalo 180,000. Mninga huo usidhani varnish babu, kitu quality na hizo handle ni za Italy
Iko mipodo na mkangazi kama huna fedha ya kutosha lkn. Kuanzia 120,000 hadi 90,000 unapata. Tunalipolish vizuri tu wala mtu hatojua sio mbao ngumu. Mpende mkeo babu
Huu ukitaka tunakuandikia jina na ayat unayotaka, kama ya kumuombea dua hivi. 45,000
Hii bidhaa ya Uturuki. 60,000 zipo rangi nyingi tu
Kama vipi niPM nikupe catalog, tuna bidhaa nyingi tu kaka. Na incase na wewe upendo ukakuzidi na wewe ukaona huwezi kuishi bila wife wako uka-opt kumfuata, I will serve you better Sir!
Hiyo ni just 25,000 ila ukitaka na aluminium tripod nitakufanyia 100,000. Haiachi wrinkles usoni hiyo, unatabasamu to the last minute.