Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 663
Au yupo kwenye michezo yetu ya ky GerryMakalio yake zamani yalikuwa magumu sana licha ya kuwa na ukubwa wa wastani ila siku hizi amekuwa na makalio laini kwelikweli yaani akitembea huko nyuma ni lawama sana na huu mtaa ninaoishi mabazaz ni wengi mpaka nahofia usalama wa ndoa yangu. nimejaribu kumuuliza nini siri ya mabadiliko anasema hata yeye hajui japo saizi ya tako ipo vilevile. Je wanawake nini husababisha hali hii au ni dawa za kichina?