Mke wangu amebadilika sana siku hizi

Mke wangu amebadilika sana siku hizi

Aiseee kama nidharau kafanyie kwenu
4fcbf8414e415f5fbe9e61b0b089030f.jpg

Samahani jamaa sikujua kama ww wa kiume samahani Sana jina lako linachanganya
 
Nshaomba samahani mkuu sikujua kama nawe mwanaume avatar yako na jina vinachanganya
Mkuu hivi hujaona muvi ya prison break eeh, vp Mondraymond hilo ni jina la kike? Any way yalishapita bro
 
wanyama wanaya-slap, wanawake bwana wakiwa na michepuko wanatoa kila kitu, kila style wakiwa na wewe anasema hajisikii, anaumwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom