Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,788
- 50,965
Makalio yake zamani yalikuwa magumu sana licha ya kuwa na ukubwa wa wastani ila siku hizi amekuwa na makalio laini kwelikweli yaani akitembea huko nyuma ni lawama sana na huu mtaa ninaoishi mabazazi ni wengi mpaka nahofia usalama wa ndoa yangu.
Nimejaribu kumuuliza nini siri ya mabadiliko anasema hata yeye hajui japo saizi ya tako lipo vilevile. Je wanawake nini husababisha hali hii au ni dawa za kichina?
Nimejaribu kumuuliza nini siri ya mabadiliko anasema hata yeye hajui japo saizi ya tako lipo vilevile. Je wanawake nini husababisha hali hii au ni dawa za kichina?