mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
wapo watu watakaodhamini hadi nauli ya kwenda china kufata mzigo.duka halifi kamweHilo duka linajitegemea?
kama bado unata hela kwa hilo duka acha
usilipie chochote liache life....halafu utapata majibu
wapo watu watakaodhamini hadi nauli ya kwenda china kufata mzigo.duka halifi kamwe
Hahahahahahaaaa watu wabayaaaaa,ila wao wanampenda akiwa na mume cyo mkuu daaahwapo watu watakaodhamini hadi nauli ya kwenda china kufata mzigo.duka halifi kamwe
unadhani kaolewa na nani hata unyumba week mbili hapewi?kama kaolewa na boya labda