Mke wangu ame hack simu yangu

Mimi mwaka 2017 nilinujua note 8 kwa 1.9 mil ya gb 128 na ram 6..mke wangu alikuwa anatumia finger scanner ku unlock kila siku .yaani yeye analala saa nne,mimi ile nikilala saa tano anaweka kidole inafunguka ana kagua yote.mwaka 2018 ilivunywa kabla ya mwaka kuisha iliniuma mpaka leo. Niliacha kutumia finger print kama security.ni mwendo wa kubadili passwold kila baada ya muda tu.
 
DHUMUNI lake muachaneee...kwa hiyoo mpe anachokitakaa
 
Huna akili
 
POLE na wewe hack yake mbona mimi nimehack ya cocastic ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…