Mkuu hebu msome huyu jamaa kwa makini hapa chini.....Sasa hapo ndo tujiulize, ilikuwaje 'kiama' kikatangazwa na mhusika asichukulie serious...alijua makosa yake
Baada ya kuona mtuhumiwa haelewi somo, ilibidi bimkubwa aje amuonyeshe kuwa alikuwa serious..nadhani mume hakuzingatia terms za kwenye namba moja
Nadhani mtuhumiwa hakujua namna ya kupooza hali ya hewa, na ukute ndio alizidi kuichafua
Bado nakataa kama ni mpango mahsusi, kwa sababu hata thread inavyojieleza inaonekana ni hasira za bibie tu
wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,
wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,
asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa
tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
Ukisoma kwa makini utatambua kuwa huyu mwanamke ana matatizo.
1. Wana miaka sita ya ndoa, mara ya mwisho kugombana imeshapita miaka miwili!!
2. Anamtuhumu jamaa ana mwanamke mwingine na kamfungulia duka (ANAMTUHUMU KWA KUWA HANA UHAKIKA... Hajathibitisha pasopo shaka)
3.Amefanya ziara ya ghafla akitegemea angemkuta mmewe ana kimada ndani, ili labda awaue wote lakini kamkuta mmewe yuko peke yake na wakalala mpaka asubuhi
4. Kafunga mlango na funguo kaficha ili jamaa asipate mwanya wa kutoroka..... Oh Gosh!
5. Kachomoa bisu mfukoni tayari kumshindilia mmewe....
Hata kama ni hasira za namna gani, kwa mtiririko wa matukio haya, isingempasa kufikia hatua ya kutaka kumuua mmewe.
Ndio maana namtahadharisha jamaa, akae mbali na huyu kichaa. Atajamuua kweli si masihara!
Hhahahahah..babu huyu mwanamke sio KICHAA bwana..nashukuru kwa analysis yako..Hebu ngoja na mimi nikuonyeshe kuwa bibie sio insane..Ila analinda Penzi lake linalotaka kumponyoka...Ngoja nichambue post yake:...Ndio maana namtahadharisha jamaa, akae mbali na huyu kichaa. Atajamuua kweli si masihara!
Hapa babu utaona Jamaa anakiri kuwa wana UGOMVI..na most likely wamegombana just recently..kwa hiyo matatizo yapowadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo
Hapa utaona mwanamke anatoa adhabu endapo atabaini ukweli wa tatizo..bahati mbaya jamaa naye kwa sababu anajua anachokifanya hastukiila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu
Angalia hapa wamelala hadi asubuhi, muuaji gani asikuue usiku wakati unakoroma aje akuue asubuhi ukiwa macho,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi
Hapa kinachoonekana na majibizano ambayo huenda mleta uzi alishindwa kufunguka na ndipo bibie akaamua kumtishia, jiulize alipataje ufunguo wa mlango?...Bibie sio MUUAJI ila alitaka kuweka sawa mambo yake babuakanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
Hhahahahah..babu huyu mwanamke sio KICHAA bwana..nashukuru kwa analysis yako..Hebu ngoja na mimi nikuonyeshe kuwa bibie sio insane..Ila analinda Penzi lake linalotaka kumponyoka...Ngoja nichambue post yake:
Hapa babu utaona Jamaa anakiri kuwa wana UGOMVI..na most likely wamegombana just recently..kwa hiyo matatizo yapo
Hapa utaona mwanamke anatoa adhabu endapo atabaini ukweli wa tatizo..bahati mbaya jamaa naye kwa sababu anajua anachokifanya hastuki
Angalia hapa wamelala hadi asubuhi, muuaji gani asikuue usiku wakati unakoroma aje akuue asubuhi ukiwa macho
Hapa kinachoonekana na majibizano ambayo huenda mleta uzi alishindwa kufunguka na ndipo bibie akaamua kumtishia, jiulize alipataje ufunguo wa mlango?...Bibie sio MUUAJI ila alitaka kuweka sawa mambo yake babu
Ewaaaaa! Unless kuna kitu kaficha mtoa mada. Lakini kama itabakia kama ilivyo, na hivyo ndivyo ilivyokuwa, then huyu mwanamke ni muuaje. Na aachwe akapumulie mbali kuleeee!!Asprin juzi alisema mtoto wake akiliwa (shoga) anaweza kumuua.
Mke wa jamaa alimwambia akimsaliti atamuua
Wauwaji hawasemi bwana; mleta mada kuna vitu vingi ameamua kuficha. Wameamka asubuhi wakagombana for 6 hrs. Mkewe akavaa suruali na kuweka kisu kwenye suruali ndipo alipokichomoa.
Whatever it is, "amuache huyo mwanamke muuaji!"
Ni kweli Asprin, ogopa sana mtu anaekwambia atakuua manake anakuwa amevaa liroho la shetani na kweli kuna siku atakuua, wewe alikwambia babu yako, mie mama angu mzazi amewahi kunambia ukisikia mtu anakwambia atakuua kaa nae mbali manake ni kweli kuna siku atakuua. Alinisimlia kisa cha kweli kilitokea huko kijijini kwao kuwa kulikuwa na mke na mume kila wakigombana yule mwanaume anamwambia mkewe ntakuua, ntakuua.Bibie Kaunga heri ya siku ya ngumi.
Babu yangu aliwahi niambia kuwa mtu akikuambia atakudhuru kwa namna fulani (awe amelewa au hajalewa), na kweli siku moja akataka kufanya kama alivyokuambia. Kaa mbali na huyo mtu kama utafanikiwa kutoka salama kwa kuwa hakika ni lazima atatimiza lengo lake.
Kwangu mie babu yangu ni kama nabii, kwahiyo napenda kuishi maneno yake.
Jirani yangu siku moja alikuwa anajinyonga bahati nzuri mkewe akawahi akakata kamba..... Akamwambia "umenichelewesha tu, lazima nitajiua" Watu walimkalisha chini, wachungaji wakamwombe ikaonekana kimeshaeleweka......Maweeeeee Haukupita muda akakutwa kajining'iniza kwenye mwembe na mauti yashamkumba!!
Hawa watu wanaozungumzia mambo ya kudhuru au kujidhuru na wakaatempt kweli....... waogope mbaya!! Ni vichaa hawa!!
Asprin msome tena taratibu; that his story hatujui ya mkewe. Na kumbuka kila mtu ana kauendawazimu kinachohitajika ni stumuls tu, sasa kiwango au intensity ya stimulus hutofautiana.
Mdada hadi kufikia hatua hiyo ujue kuna maudhi, maumivu yaliyokomaa na kuzaa hasira. Mkaka ingawa hatoi story au ukweli wote anafeel guilty in a way kwani anajua amesababisha mengi. Ukitumia kipimo cha wewe unvyoishi na mkeo na jinsi gani humuoni mkeo akifikia hatua ya kutoa kisu au kukumwagia moto hutaelewa. Tumia kipimo cha story za usaliti wa kupitiliza, utelekezaji wa familia na mengine ndipo unaweza pata picha.
wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?