Hii STORI inataka ufikiri zaidi ili uwe 'fair' kwenye maamuzi..Ukimsoma mleta uzi utaona anakiri kuwa wamekuwa na Maugomvi yasioisha kwenye ndoa yao kwa muda sasa... Hii inapelekea kujiuliza kuwa pengine kuna MATATIZO tayari ndani ya ndoa yao yanayohitaji 'comprehensive resolution ....na mpaka MKE aseme kuna siku 'ntakuua' on my side i guess inaonekana mume ndiye msababishi mkubwa wa haya mambo..
I second Kaunga kwamba ukiichukulia 'ntakuua' literary utaona mama ni muuaji..lakini ukisoma between lines utaona pia kwamba inawezekana huyu bwana kuna makosa anayoyafanya ambayo kwa mkewe ni 'irrevocable'..pengine ndiyo yanayopelekea huyu mama kujihami hivi..
Rafiki zangu Erickb52 Zinduna Asprin hebu jiulizeni hivi 'in the first place' mkeo/mumeo anaweza kuja kukutembelea guest akiwa na silaha tayari?...ili iweje??..Nadhani huyu jamaa pengine ndiyo amemsababishia huyu dada kuwa hivi alivo..na hiki anachofanya huyu mama, i bet ni kama 'counteractive measures' za kujidefend..It once happened to me..lakini nilijua i was the one who drove my pal to that extent..
Ntabaki kuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huyu mama amepanga tu kumuua huyu jamaa from nowhere..otherwise, the guy needs to explain a little bit..
Wangu pia ashanitoleaga kisu siku moja, alinihisi nakula demu fulani hivi ambaye hata wazo naye sina. Lakini hajaniua bado!!!
Wakati nyie mnajadili sababu, mie nazungumzia kitendo alichofanya huyo mwanamke.
Hapa tunatofautiana mahala padogo sana. Kumbukeni uhai ni kitu muhimu sana na kama ndoa inatishia uhai, basi hiyo ndoa haifai. nasisitiza haifai, iwe ni mume ndio mwenye makosa au mke, bado hai justify watu kutishiana visu. hawa wakiachwa watakuja uana siku moja hawa.
Hili shauri likifikishwa mahakamani, hii ndoa itavunjwa iwavyo vyovyote.
Kuna vitu hujatueleza hapa....kitendo cha kutaka kukuchoma kisu ni matokeo ya ambayo umemfanyia kipindi cha nyuma...kisu umekileta mwenyewe
wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
No matter what! Im not an ANGEL! You cant justify kutoa roho ya mtu kwa domestic scuffles! Tena alishawahi mwambia atamuua before! She is psychopathy! I cant live with such an animal!
Ugonmvi kidogo linakimbilia kisu NOWAY
Wakati nyie mnajadili sababu, mie nazungumzia kitendo alichofanya huyo mwanamke.
Hapa tunatofautiana mahala padogo sana. Kumbukeni uhai ni kitu muhimu sana na kama ndoa inatishia uhai, basi hiyo ndoa haifai. nasisitiza haifai, iwe ni mume ndio mwenye makosa au mke, bado hai justify watu kutishiana visu. hawa wakiachwa watakuja uana siku moja hawa.
Hili shauri likifikishwa mahakamani, hii ndoa itavunjwa iwavyo vyovyote.
SnowBall mi sijakataa kama jamaa hana kosa ila ninachosema ni kwamba kwanini achukue maamuzi ya kuua na si mengineyo? Hata kama jamaa kakosea kuuawa sio njia pekee kuna watu wanakamatwa na makosa makubwa ila hawauawi hivyo hiyo adhabu si sahihi kwa jamaa.Hii STORI inataka ufikiri zaidi ili uwe 'fair' kwenye maamuzi..Ukimsoma mleta uzi utaona anakiri kuwa wamekuwa na Maugomvi yasioisha kwenye ndoa yao kwa muda sasa... Hii inapelekea kujiuliza kuwa pengine kuna MATATIZO tayari ndani ya ndoa yao yanayohitaji 'comprehensive resolution ....na mpaka MKE aseme kuna siku 'ntakuua' on my side i guess inaonekana mume ndiye msababishi mkubwa wa haya mambo..
I second Kaunga kwamba ukiichukulia 'ntakuua' literary utaona mama ni muuaji..lakini ukisoma between lines utaona pia kwamba inawezekana huyu bwana kuna makosa anayoyafanya ambayo kwa mkewe ni 'irrevocable'..pengine ndiyo yanayopelekea huyu mama kujihami hivi..
Rafiki zangu Erickb52 Zinduna Asprin hebu jiulizeni hivi 'in the first place' mkeo/mumeo anaweza kuja kukutembelea guest akiwa na silaha tayari?...ili iweje??..Nadhani huyu jamaa pengine ndiyo amemsababishia huyu dada kuwa hivi alivo..na hiki anachofanya huyu mama, i bet ni kama 'counteractive measures' za kujidefend..It once happened to me..lakini nilijua i was the one who drove my pal to that extent..
Ntabaki kuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huyu mama amepanga tu kumuua huyu jamaa from nowhere..otherwise, the guy needs to explain a little bit..
Teh ndio hivyo huwezi jua atakulamba shoka sangapi.Haaaahaaahaaaaa! Umenifurahisha sana mkuu. You made my day.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapo red unamaanisha kufikia hatua ya kuua siyo?Zinduna kwa record naomba nihighlight yafuatayo:-
1: Ni makosa kutishia au attempt yoyote ya kuua; na
2: Mdada kakosea na anaweza fungwa!
3: Na hakuna justification ya kukatisha maisha ya mtu zaidi ya self defence
Ninachojaribu kusema ni kwamba,
1: Kufikia hatua hiyo maana yake kuna tatizo kubwa sana.
2: Hiyo ni dalili ya tatizo na sio tatizo
3: Mumewe atafute source ya tatizo na aifanyie kazi.
4: Akishindwa aivinje ndoa.
5: Binadamu yeyote akifikishwa kwenye apex ya hasira anaweza fanya lolote including kuua na kwa maoni yangu (if she is not nuts) atakuwa amefikia kiwango hicho.
Asprin msome tena taratibu; that his story hatujui ya mkewe. Na kumbuka kila mtu ana kauendawazimu kinachohitajika ni stumuls tu, sasa kiwango au intensity ya stimulus hutofautiana.
Mdada hadi kufikia hatua hiyo ujue kuna maudhi, maumivu yaliyokomaa na kuzaa hasira. Mkaka ingawa hatoi story au ukweli wote anafeel guilty in a way kwani anajua amesababisha mengi. Ukitumia kipimo cha wewe unvyoishi na mkeo na jinsi gani humuoni mkeo akifikia hatua ya kutoa kisu au kukumwagia moto hutaelewa. Tumia kipimo cha story za usaliti wa kupitiliza, utelekezaji wa familia na mengine ndipo unaweza pata picha.