ndoa hizi bana....tabu kweli kweli. lakini wewe sii alishakupa warning mapema kabisa kuwa atakukata na kisu au ulidhani anatania? sasa katimiza ahadi.....alafu mbona hujasema uliponyokaje humo chumbani wakati wife funguo alikuwa kaificha?
Kaunga we mumeo akikuudhi utamchoma kisu?Umechangia sana kumfikisha hapo.
Cha kukushauri ni kuwa; whatever you did, undo ili urudishe imani yake kwako. Hiyo unayosema nyumba haikosi migogoro ni justification tu, there is something wrong with ur marriage. Kama huwezi undo, bora mseparate kwa muda!
kisukari huyu mwanamke anatawaliwa na roho ya ukatili na mauti....yan mtu anayependa kutumia kauli ya 'NTAKUUA' huwa lazma aue tu hakunaga option. Kaunga anamtetea ila aangalie asije akamsababishia madhala mzee wa watukaunga huyo mke ni mtu wa hasira,inaonyesha hata jambo liwe dogo vipi,atalikuza na ni kweli anaweza akaua kwa hasira zake tu.wapo watu wa aina hiyo.ni sawa na waume wanaopenda kupiga wake zao,kidogo hasira zake anapiga na kukuachia majeraha mwilini.muhimu ajaribu kumuelewesha ajaribu kuji control hasira zake otherwise hiyo ndoa itakuwa ya ugomvi kila siku.imagine mabishano lodge masaa 6.au pengine na huyo bwana na yeye hakubali kushindwa
Hehehee Zinduna kweli leo Kaunga nahisi bado ana mining'inio ya XMASSKaunga mie huwa naheshimu sana michango yako, lakini kwa hili umepotoka. hata kama mume kammkosea vipi, kutishia kuua au kujaribu kuua ni kosa kisheria. huyu tayari ni mtu hatari na hastahili kuitwa mke. ni muuaji huyu.
Mara ngapi tumesikia wanandoa wanauana na baadae unasikia majirani wakisema kwamba walikuwa wanagombana kila siku na ugomvi wao ulikuwa unahusisha silaha. kwa hiyo watu wakishauana na ndio tunabaki tukisema lau kama tungejua.
Hiyo ndoa haifai, IVUNJWE!!!!!!!!!!!!!!!!
Kaunga we mumeo akikuudhi utamchoma kisu?
Then ukimuua utafaidika nini?
iringa
iringa
Kaunga sikatai ukubwa wa kosa ila ninachosema je kuua ndio njia pekee au adhabu pekee?Naona mmeshindwa kuipata point yangu. Simtetei huyo mwanamke na ninasita kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja wa story!
Kukujibu swali lako, SIJUI kama naweza muua au la. Why, coz sijui kama anaweza ni-trigger to reach that extent. Mfano; kuna mama alimchoma kisu mumewe baada ya kumfumania akimnyonyesha mboo yake mtoto wao wa miezi 5.
I wish tungepata story ya upande wa pili. Au hata mwanaume angefunguka zaidi; maana haiingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu kumshikia mtu kisu from nowhere au kwa ugomvi Mdogo tu! Na ndio maana nimemshauri aievaluate ndoa yake na au kuamua kubadilika (kama ana mchango kwa hayo) au watengane!
Tena akiwa usingizini Sumu
Wangu pia ashanitoleaga kisu siku moja, alinihisi nakula demu fulani hivi ambaye hata wazo naye sina. Lakini hajaniua bado!!!
wiki mbili zilizopita alikuwa amekuja mkoa mwingine kikazi ila mkewe alikuja ghafla ghafla usiku saa tano wakalala mpaka asubuh.nafikiri hiki kipande hukukiona kaka.Hiyo bluu: Ilikuwaje mkalala lodge? Nyumbani kwako kuna nguo za huyo anayekutuhumu au?
Red: Unaishi na mwendawazimu afu unakuja kutuomba ushauri? Subiri akuchinjilie mbali au akuwekee polonium ndio uje utuombe ushauri.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA KABLA HAJAKUUA!!!