Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,418
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kumtafutia sababu, ukaanzia mbaliiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kumtafutia sababu, ukaanzia mbaliiiii.
Amepata kigoli kinampeleka putaUmeanza kumtafutia sababu, ukaanzia mbaliiiii.
Na ole wake wake athubutu kumwacha,..hio logwa yake cjui km atatoka huyu jamaaKuna kauli ni tata kweli
Sasa hautaweza kuwa nae kivipi wakati ushakuwa nae,ni mke wako na umekuwa nae miaka minne
Nimeshamgusua mke wangu kuwa "Kuwa makini usije ukawa kama bimkubwa bwana, mimi sitoweza kuvumilia Mambo yale"
Atajua mwenyewe kama kamwambia au kaamua ku
WataachanaKuna kauli ni tata kweli
Sasa hautaweza kuwa nae kivipi wakati ushakuwa nae,ni mke wako na umekuwa nae miaka minne
Mkuu unapitia bonde la uvuli wa mauti ila usiogope chochote
Duuuuh kweli eeKama bibi yake ni mchawi, mama yake ni mchawi basi na mkeo ni mchawi. Ukitaka kumshika hakikisha siku ulale umeoga chumvi ya mawe na kwenye mto weka majani au mzizi wa komamanga itamshika mchana kweupe
Ujaelewa nini sasa, si anaachwa..Kuna kauli ni tata kweli
Sasa hautaweza kuwa nae kivipi wakati ushakuwa nae,ni mke wako na umekuwa nae miaka minne
Na mie nimeona hivyohUmeanza kumtafutia sababu, ukaanzia mbaliiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiih JF khaaaahOops! Ushanasa bro, hapo simu ishafika kwa mama kuwa dawa imeanza pungua makali aongezee
Ushasema usiku afanye hivyo, afu atamkamata mchan kweupeeeeeh? Kweli lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama bibi yake ni mchawi, mama yake ni mchawi basi na mkeo ni mchawi. Ukitaka kumshika hakikisha siku ulale umeoga chumvi ya mawe na kwenye mto weka majani au mzizi wa komamanga itamshika mchana kweupe